Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,748
Habari wakuu,
kitambo kidogo nimekuwa kimya sana kutokana na sababu kadhaa zilizo nje ya uwezo wangu.!
nafahamu wengi mnashauku ya kutaka kujua ukweli juu ya mtoto wa Florah na kama kuna uhusika wowote wa "mzee wa chopa", na pia nini kinachoendelea nyuma ya pazia kati ya Emma VS Florah, Emma VS "mzee wa chopa", na Florah VS "mzee wa chopa".!!
Naomba niseme kuwa kuna masuala ya kisheria ambayo kwa sasa yananibana kutosema lolote au kuzungumzia juu ya masuala hayo hadharani au kwenye media! changamoto hii imetokea baada ya zile nyundo nilizoshusha kipindi kile, kuna mambo mengi sana hasa yahusuyo sheria yalitokea ambayo sina uhuru wa kuyazungumzia hapa kutokana na terms za hayo makubaliano..
kwa ufupi naomba niseme hayo tu ili nisije kunogewa nikavuka mipaka! ila naomba mfahamu kuwa TUKO PAMOJA, na muda muafaka ukifika mambo yakikaa vizuri, "ntamwaga mchele" wote..!!
Mbarikiwe sana.
THe Bold