The Big Match 2020: Magufuli VS Tundu Lissu

Piganieni Katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi badala ya hadithi za kufikirika!
Kama hakuna katiba mpya lazima kuwe na plan B.
Ni kweli CHADEMA NA UKAWA waanze kujiandaa mapema.
Mzee Lowasa tumuombe kwa heshima ngoma hii awaachie vijana, yeye aendelee kuchagiza!!
Lissu ni Best.
 
Hivi unasomaga ilani za uchaguzi za vyama vya siasa kabla ya uchaguzi. Hayo yaliandikwa wapi kwenye ilani ya uchaguzi ya chadema 2015?? Tuache ushabiki wa kejeli na tujkite kwenye kujibu kwa hoja juu ya mada iliyopo mezani
Huyo huwa watu hawamjibu kwani wamegundua ni mgonjwa. Muache tuu
 
Mkuu lissu is a oerfect match kwa hali ya kisisasa ya sasa tunahitaji mtu radical kweli kweli type ya alfonce mawazo hivo nikubaliane na wwe lissu apewe ikiwezekana uenyekiti wa chama ili atusaidie kudai katiba mpya upya, tume huru, awe frontline kupinga udikteta na naamini anaweza maana ni mtu asiyeogopa kuthubutu na kwa yeyote atakayekuwa mgombea wa UKAWA hata kama hatokuwa lissu ila lisu anaweza saidi sana hasa kampeni za 2020 na hapo itasaidia kumpata rais wa kwanza wa upinzani kma uchaguzi utakuwa huru na haki.
Mwenyekiti kwanza aondoke apewe lema hiyo nafasi,sasa hivi mbowe anapwaya Sana hana uthubutu kabisa hata katibu mkuu nae anapwaya apewe mwingine ambae akizungumza anateka attention ya hadhira
 
We jidanganye tu.
Nijidanganye nni mlikuwa na 80% 2005 62% 2010 then 58% 2015 hapo huoni wapinzani tunahitaji kuongeza 10% ya kura zote iki tuweze kuwatoa madarakani. Trust me ccm imechokwa anayejaribu kuwapa moyo watanzania ni magufuli na ndio watu wameweka matumaini kwake na sio chama sasa ikifika 2020 bei it uchumi uko ICU sijui kilimo utalii ajira viwanda elimu viko taabani kipi tena mtawaambia watanzania??? Lazma ujue kuwa the HIGHER THE EXPECTATION THE HIGHER THE DISSAPOINTMENT........ ndo kilitokea kwa kikwete pia aliaminisha watu kuwa sasa tanzania mpya imekuja ila ilipofika 2010 hakuna lililofanyika watz wakamuadhibu kupitia sanduku la kura na kama sio kina Rajabu kiravu leo hii angeingia kwenye historia ya rais aliyeongoza tz kwa kipindi kimoja tu.
So tusubiri tu time will tell ila mwambieni jua linazama 2020 si mbali
 
Mwenyekiti kwanza aondoke apewe lema hiyo nafasi,sasa hivi mbowe anapwaya Sana hana uthubutu kabisa hata katibu mkuu nae anapwaya apewe mwingine ambae akizungumza anateka attention ya hadhira
Yeah mkuu nilipinga sana hili jambo ila kwa tulipofikia inabidi na sisi tubadilishe approach maana watawala wameshaonyesha kuwa hawaheshim upinzani tena ndo maana bungeni wanatuburuza mpka kutufungia vikao haya manispaa zenye madiwani wengi wa upinznai bado wamepora umeya sahvi wanazuia mikutano mara wafungie magazeti na blog zenye kuleta hoja mbadala dhidi ya serikali kwa kweli nmeona haja na mimi kusupport mbowe aachie madaraka au abadilike kuwa radical kama odinga na besigye hilo pekee litanusuru upinzani lasihivyo watatunyamazisha milele
 
Mkuu lissu is a oerfect match kwa hali ya kisisasa ya sasa tunahitaji mtu radical kweli kweli type ya alfonce mawazo hivo nikubaliane na wwe lissu apewe ikiwezekana uenyekiti wa chama ili atusaidie kudai katiba mpya upya, tume huru, awe frontline kupinga udikteta na naamini anaweza maana ni mtu asiyeogopa kuthubutu na kwa yeyote atakayekuwa mgombea wa UKAWA hata kama hatokuwa lissu ila lisu anaweza saidi sana hasa kampeni za 2020 na hapo itasaidia kumpata rais wa kwanza wa upinzani kma uchaguzi utakuwa huru na haki.
Mbowe kama kakata pumzi hivi simuelewi elewi
 
We jidanganye tu.
Pamoja na wizi mkubwa wa kura (hilo halibishiwi afrika nzima) matumizi ya vyombo vya dola na media kubanwa hebu angalia hii trend ya kura za urais kwa ccm.
2005; 80%
2010; 62%
2015; 58%
2020; ??%
Sasa angalia na hali hii ya uchumi, ajira, lugha mbaya, kula rambirambi, kukataa kusaidia waliopatwa na ukame au majanga nengine na UONGO hali itakuwaje kana sio 35% za mazoea tuu?
 
Mbowe kama kakata pumzi hivi simuelewi elewi
Naelewa mazingira ya sasa ya siasa ni magumu sana ndio maana vyama vyote vya upinzani sio nccr cuf au chadema vimepoa sana kwa hivyo siwezi kumlaumu sana mbowe. Shida najua kazungukwa na wanadiplomasia wengi sana sumaye lowassa mbatia safari baregu hawa wote naamini kabisa waliupinga UKUTA na toka hapo ccm wameudharau sana upinzani maana wamejua hata wakitubana bado hatuwezi kufurukuta wala kufanya lolote .
Suluhisho hapa ni kuleta damu mpya ambayo ccm bado hawajajua weakness zake na sio predictable maana najua ccm wameshamzoea sana mbowe wanajua wapi pa kumcontent ili asilete madhara sana.
Damu mpya sio kwa sababu mbowe hawezi no naamini bado mbowe ni muhim sana chadema ila katika kipindi hiki cha udikteta na sisi tupate kiongozi wa upinzani mwenye uwezo wa kupambana na utawala huu wa chuma hapo naona chama kitaweza kuishinikiza ccm kukubali sera zetu na kuepusha kuburuzwa kama sahvi wanavyotuonea wakijua hatuna la kufanya
MZIKI UKIBADILIKA NA AINA YA UCHEZAJI IBADILIKE

[HASHTAG]#RADICALISECHADEMA[/HASHTAG]
 
Nakubaliana na wewe kuna hitajika mabadiliko
 
Nijidanganye nni mlikuwa na 80% 2005 62% 2010 then 58% 2015 hapo huoni wapinzani tunahitaji kuongeza 10% ya kura zote iki tuweze kuwatoa madarakani. Trust me ccm imechokwa anayejaribu kuwapa moyo watanzania ni magufuli na ndio watu wameweka matumaini kwake na sio chama sasa ikifika 2020 bei it uchumi uko ICU sijui kilimo utalii ajira viwanda elimu viko taabani kipi tena mtawaambia watanzania??? Lazma ujue kuwa the HIGHER THE EXPECTATION THE HIGHER THE DISSAPOINTMENT........ ndo kilitokea kwa kikwete pia aliaminisha watu kuwa sasa tanzania mpya imekuja ila ilipofika 2010 hakuna lililofanyika watz wakamuadhibu kupitia sanduku la kura na kama sio kina Rajabu kiravu leo hii angeingia kwenye historia ya rais aliyeongoza tz kwa kipindi kimoja tu.
kiongozi nikuulize swali moja tu,do you think kuwa inawezekana kuiondoa CCM madarakani kwa mtindo huu wa kila mtu kutaka kuwa na chama cha siasa badala ya kujiunga na kuwa na nguvu moja??
 
LISSU VS ZITTO VS MAKAMBA .......................
Lissu na zitto wanafaa ila sio makamba..... makamba hamna kitu alibebwa na kikwete ila toka asimame mwenyewe hamna kitu ona awamu hii hta haskiki utafkiri sio waziri......kwisha habari yake kabisa
 
..mh. Lissu ni mtu pekee ukawa anayeweza kupambana na ccm bila hofu..BTW huyu alifaa kusimamishwa hata 2015...maana anajua kupigania haki yake bila woga....huyu ndie anaweza kuwa kiboko ya JPM 2020....na ccm wanaomba asisimamishwe...huyu hata jk anamjua vema alivyomsumbua....na sasa anaisumbua serikali ya awamu hii...rejea kesi zake mahakamani.... Mungu amlinde sana Lissu....
 
Back
Top Bottom