Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,425
- 51,485
TAUSI bana ndo ilikuwa mambo yote!
Tausi ndege wangu, ndege wangu wa fahari
ndege ume....na sasa....
Kila nnapopitaga ile mitaa ya IFM kule na kuwaona huwa naikumbuka sana hii play!!!
Hivi ndo ilikuwa na wahusika kama kilonzo na wenzake?
Umenikumbusha mbali.
Lakini huko tumeshatoka. Kunakitu inaitwa nadhani IRIS kama kunamtu ana info zaidi ya hi kitu anipe niliona kipande kidogo tu nikavutiwa nayo.