kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
Mi sijawahi kuona series na picha Kali Kama 24 hours, imefikia wakati movie nyingi nikizitizama naziona mbaya au zipo chini ya kiwango. Hii ni kwa sababu ya ku compare na 24 hours. Dah!! Jack Bouer ni noma! Hakuna stering Kama yeye! Japo zipo series zingine ambaso huwezi kuzifanananisha na 24 hivyo nazo ni lazima utazipenda.
1. Jumong.
2. Merlin nk
1. Jumong.
2. Merlin nk