asee...!
hapa mi ndo nyumbani arif....!
napenda kila series kiukweli....!lakin hasa hasa SUPERNATURAL kwa sasa...!kuna ile inaitwa THE VISITORS na mmoja inaitwa MUTANT X...!i like them series
zipo zile VAMPIRE DIARY...EVENT....SPARCATUS etc
yani mi ukishaweka maseries kwenye luninga hainaga kuondoka hiyo arif
Prison Break,The Wire. Mbona hamsemi za Kiswahili? au Mnasubiri mademu waje na Sunset beach?
Lost mie ndio ilikuwa ndio ya kwanza ila namie nika Lost kabisa sikuitizama tena.
Nadhani imeshaisha..Mara ya mwisho niliicheki mwezi wa nne na ilikuwa bado kama episodes chache sana less than 5 i thinknever boring,full commedy,its too long mpaka basi
Hebu tutaje zinazoboa sana.. Mi iliyoniboa sana kuliko zote ni ROME
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
nailed it..Mambo yote ni 24hrs...
asee...!
hapa mi ndo nyumbani arif....!
napenda kila series kiukweli....!lakin hasa hasa SUPERNATURAL kwa sasa...!kuna ile inaitwa THE VISITORS na mmoja inaitwa MUTANT X...!i like them series
zipo zile VAMPIRE DIARY...EVENT....SPARCATUS etc
yani mi ukishaweka maseries kwenye luninga hainaga kuondoka hiyo arif
lost iko poa sana mkuu,ila wengi wanaget lost hawaimalizii,watoto ndo kabisaa hawawezi kuielewa!lakini kwangu 24HRS ndo kila kitu.niliiangalia,nikaiangalia tena na tena na ninaiangalia na nitaiangalia tena tena!sidhan kama nitakuja kuchoka kuiangalia..
dexter na lost girl zinaboa!!they are not creative
Hebu tutaje zinazoboa sana.. Mi iliyoniboa sana kuliko zote ni ROME
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums