The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

mimi nilichogundua watu hawafahamu simu kabisa mtu anashindwa kucheki hata Camera Specs tuu kwenye google nawapa Camera Specs za simu zote mbili muone
 
061c5c1cb797d7cb73a6416d1a175ff6.jpg



hiyo ni Camera Specs za Galaxy S 8 Plus
 
Wakuu naombeni kujua kioo cha samsung grand prime bei yake kwa sasa ni shilingi ngap za kitanzania.
 
still naona huawei mate 10 pro itakuwa kuwa ya kwanza kwa sababu
-design yake ni nzuri bila kusahau glass on the back,camera na fingerprint scanner zipo sehemu stahiki
-chip,huyu jamaa na kirin 760 ambayo ndani yake kuna Neural-Network Processing Unit (NPU)....
-camera ya ukweli kwa nyuma ni dual camera 20 by 12 MP
-Betri kubwa kabisa 4000mah
-desktop mode....inaweza kuwa connected kwenye screen kubwa kwwa njia ya usb......unlike samsung lazima ununue dock yake ili iwe connected
Mp za camera zisikubabaishe sana mkuu. Iphone na Samsung unakuta wana 12/8MP lakini wana technology kubwa katika swala la image processing.

Swala la battery pia inategemeana na jinsi chips za processor na OS zinavyotumia energy.
 
asante mkuu kwahiyo nikiwa na stream mpira ktk simu yangu kwa mfano naweza kuangalia live kupitia hiyo monitor/flat screen? maana nimeona link hii ( totalsportek.com )ni reliable kwenye mambo ya streaming na gem zingine huchezwa usiku sana
na ukizingatia dstv zanyewe gharama.
hii huna haja na dex, kama una smart tv huhitaji kifaa chochote utaangalia kwa kutumia miracast au widi, na kama una tv ya kawaida unanunua dongle ya miracast ya hdmi then unaichomeka kwenye tv halafu tv yako itakuwa na wifi ya kuconect simu.
 
Sasa mimi najipanga kununua Xiaomi note 4x vipi hapo wakuu
 
Hivi Mkuu Lusungo Ukiacha S8, kuna hii Simu nyingine toka kampuni ya Samsung ambayo ni Galaxy A5(2017) ninayoona kama ni nzuri hasa Ukizingatia pia na suala la gharama....... vipi Unaweza Kunikomentia vipi Kuhusu hii Simu?

Maoni yako tafadhali Mkuu!
starehe gharama
 
tafuta simu yenye snapdragon 625 au 450 au kirin 650 series kwa hio budget. kwa huawei ni simu kama

-Huawei Nova
-Honor 6x (Huawei GR5) ya 2017
Mkuu huawei honor 6X ya 2017 kwa hela hyo hawezi kupata
 
Over my dead body! 2.7m hii ni ada kwa ajili ya vijana wangu wawili kwa mwaka mmoja. Siwezi kunua. Labda niwe nimevuta
Kuna wengine pia hyo ada hata ya laki 5 hawaiwezi wanasomesha shule za kata!! So ts a matter of capital!!!
 
Back
Top Bottom