The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

Mkuu hili neno "flagship" unaweza lifafanua kidogo naona umeniacha....

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
flagship kwa lugha yetu inamaanisha kinara au inayoongoza.....kwa mantiki hiyo kwenye upande wa smart phones yale matoleo ya simu yanayotolewa na brand husika katika mfululizo wa matoleo kila mwaka na yanaongoza in terms of specs na bei... ndio tunayaita flagship....mfano galaxy s8 ni flagship kwenye mfululizo wa matoleo ya samsung galaxy S series kwa mwaka 2017.
hivyo ndio ninavyoelewa mkuu
 
Halafu mkuu hyo one plus 5T naona nayo ni high end then bei yake sio mchezo
 
mkuu wenzetu simu za miloni moja na laki moja au tatu hawazieki kwenye high end phones , still wanazieka kwenye mid range.
Ila zile zinazoanzia million na laki 6 mpaka million 2 na , ndio wanaziterm as high end phones.

one plus 5t , blackbery motion, na nyingine nyingi tu huwa milion moja na lak moja au tatu kwa ni za best budget....ila kina iphone x , samsung s8, note 8 na nyingine nyingi hizi ni high end...ukichunguza zinatofauti ya laki 3 mpaka 5 na kina one plus 5t.

Ila me mbongo kwangu hata ya laki 6 ni high end , me naziangaliaga tuu
 
flagship kwa lugha yetu inamaanisha kinara au inayoongoza.....kwa mantiki hiyo kwenye upande wa smart phones yale matoleo ya simu yanayotolewa na brand husika katika mfululizo wa matoleo kila mwaka na yanaongoza in terms of specs na bei... ndio tunayaita flagship....mfano galaxy s8 ni flagship kwenye mfululizo wa matoleo ya samsung galaxy S series kwa mwaka 2017.
hivyo ndio ninavyoelewa mkuu
Thanks Mkuu j wara nimepata mwangaza..... Inapendeza
 
still naona huawei mate 10 pro itakuwa kuwa ya kwanza kwa sababu
-design yake ni nzuri bila kusahau glass on the back,camera na fingerprint scanner zipo sehemu stahiki
-chip,huyu jamaa na kirin 760 ambayo ndani yake kuna Neural-Network Processing Unit (NPU)....
-camera ya ukweli kwa nyuma ni dual camera 20 by 12 MP
-Betri kubwa kabisa 4000mah
-desktop mode....inaweza kuwa connected kwenye screen kubwa kwwa njia ya usb......unlike samsung lazima ununue dock yake ili iwe connected
 
Mkuu hao techradar kabla ya kupanga list wanapitia simu zote na kila eneo then wanakuja na hitimisho.
 
still naona huawei mate 10 pro itakuwa kuwa ya kwanza kwa sababu
-design yake ni nzuri bila kusahau glass on the back,camera na fingerprint scanner zipo sehemu stahiki
-chip,huyu jamaa na kirin 760 ambayo ndani yake kuna Neural-Network Processing Unit (NPU)....
-camera ya ukweli kwa nyuma ni dual camera 20 by 12 MP
-Betri kubwa kabisa 4000mah
-desktop mode....inaweza kuwa connected kwenye screen kubwa kwwa njia ya usb......unlike samsung lazima ununue dock yake ili iwe connected
mkuu kwa mara ya kwanza wametumia Quad HD hao Huawei kwenye mate ya mainstream na kirin imekuwa exposed batterylife ni ya kawaida sana japo ina 4000mah,
gsmarena_001.jpg

s8 plus yenye 3500mah
gsmarena_001.jpg

hivyo sidhani kama hio 4000mah ni advantage.

kuhusu hio android kwenye desktop, samsung ndio alianza, japo samsung wao wanatumia dex acessory, na samsung yao si android tu inarun na distro za linux (soon)
SamsungDeXLinux-580x358.jpg

hivyo hapo utaweza run kina ubuntu na wengineo na kutumia software ambazo kwenye simu usingezipata.
 
Mkuu hapo kwenye matumizi ya simu kwenye computer naomba unitoe tongotongo
 
samsung inakuja na accessory inaitwa dex, ni kikalio ambacho unachomeka simu yako na kukuwezesha kuitumia simu kama desktop.

au-feature-ee-mg950-dex-station-68128014

hii dex unaiconect na display yoyote ya kisasa inaweza ikawa monitor au TV, hio display itageuka na kuwa desktop computer.

mwanzo ilikuwa inarun android tu ila sasa hivi samsung wanaongeza na linux distro.

kama una kazi ya kuchapa kwa simu inakuwa ngumu unaweza tumia keyboard na mouse na tv yako nyumbani ukachapa kazi yote hadi ikaisha.
 
Duh hayo naweza yafanya kwa samsung s8 au tusubiri s9?
 
Back
Top Bottom