The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

The best smartphone 2017... Samsung galaxy S8

Mi naonaga price ya A series ni bora zaidi ukajiongeza kwenye S series....

A7 ya 2017 ni nzuri pia japo sio flagship
Yeah ni kweli.

Sikuwa na bajeti ya kununua flagship 2 kwa sasa. Japo ni kweli, ningeongeza 700K ningepata hiyo S8 Plus.
 
mtoa mada unachuki inafsi na iphone,,,
by the way i love iphone...na itabaki kua cm ya kipekee no matter wat..
Mkuu ninayo pia IPhone X nimeipata jtatu ya wiki hii... napenda sana samsung na IPhone
 
Waache wamiliki waleeeee......mi napambana na hii hapa
 
mkuu kwa mara ya kwanza wametumia Quad HD hao Huawei kwenye mate ya mainstream na kirin imekuwa exposed batterylife ni ya kawaida sana japo ina 4000mah,
gsmarena_001.jpg


s8 plus yenye 3500mah
gsmarena_001.jpg


hivyo sidhani kama hio 4000mah ni advantage.

kuhusu hio android kwenye desktop, samsung ndio alianza, japo samsung wao wanatumia dex acessory, na samsung yao si android tu inarun na distro za linux (soon)
SamsungDeXLinux-580x358.jpg

hivyo hapo utaweza run kina ubuntu na wengineo na kutumia software ambazo kwenye simu usingezipata.
Nokia ndio walionanzisha hii idea ya simu na computer kutumika pamoja
 
Back
Top Bottom