The best revenge is to move on

Niligundua unampenda huyu mama.
So nikaamua kumchora na nimfanye kua zawadi kwako!!
IMG_20190329_162310.jpg
 
kuna ving'ang'a balaa........hakubali...hajikubali....yaani hajielewi.....mwenzie na kuoa keshaoa....badooo shiida....
 
Tarehe 4/6/2018 kwenye mida ya saa moja hivi jioni ilikuwa siku ya maumivu sana ktk maisha yngu
aliponiambia hataki tena kuwa na mm akasema nimuache kama nilivomkuta
sikulala ikafika saa saba nikaona kama dunia yote inanielemea
nikapiga magoti kutafuta uso wa Mungu
anipiganie

kesho yake nikamtafuta nikamuuliza kwanini ameamua tuachanane
akasema hana amani tena na mahusiano yetu
niendelee tu na maisha yangu nitakuja kupata mzuri zaidi kuliko yeye
japo ilikuw ngumu kumeza lkn nilimuelewa kishingo upande sababu nilikuw nimeshampenda kiukweli
Mwanaume nikajifariji ndo ukubwa huo
Nikamshukur Mungu kwa kumleta huyu mwanamke kwenye maisha yangu ili kunikomaza zaidi kiakili na kiroho

japo nilipitia mahusiano kadhaa hapo kabla ila kwa huyo nilimpenda na tulikuw na ndoto ya kuoana ila Mungu akaamua kuzuia isitokee

mm sikumuelewa kwann ameamua ku move on
sababu sikujua kosa langu ni nini?

Mapenzi yanaumiza kweli asikuambie mtu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom