Pole sanaTarehe 4/6/2018 kwenye mida ya saa moja hivi jioni ilikuwa siku ya maumivu sana ktk maisha yngu
aliponiambia hataki tena kuwa na mm akasema nimuache kama nilivomkuta
sikulala ikafika saa saba nikaona kama dunia yote inanielemea
nikapiga magoti kutafuta uso wa Mungu
anipiganie
kesho yake nikamtafuta nikamuuliza kwanini ameamua tuachanane
akasema hana amani tena na mahusiano yetu
niendelee tu na maisha yangu nitakuja kupata mzuri zaidi kuliko yeye
japo ilikuw ngumu kumeza lkn nilimuelewa kishingo upande sababu nilikuw nimeshampenda kiukweli
Mwanaume nikajifariji ndo ukubwa huo
Nikamshukur Mungu kwa kumleta huyu mwanamke kwenye maisha yangu ili kunikomaza zaidi kiakili na kiroho
japo nilipitia mahusiano kadhaa hapo kabla ila kwa huyo nilimpenda na tulikuw na ndoto ya kuoana ila Mungu akaamua kuzuia isitokee
mm sikumuelewa kwann ameamua ku move on
sababu sikujua kosa langu ni nini?
Mapenzi yanaumiza kweli asikuambie mtu"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Poleni wote mliopigwa chini, mtazoea tu.
Jamani jamaniiAkimwaga ugali kama lipumba alivyofanya we pindua meza kama maalimu seif
Too bad he doesn't even remember youI still remember how he made me feel.
U never knowThe way you have answered itโs as if you know the person, I donโt do shoe chases anyway.
Usiogope Sakayo kwako mimi nimefika. haya hayawezi tutokea mi mvulimu sanaJamani jamanii
Nipo hapaKuna short chases ilinipiga chini in old school days. bado ninashindwa ku move on
Ikawaje tena mkuu?Nimeifanya hii kwa mpenzi wangu alikuwa ananisumbua sana, toka zamani sababu ya tofauti kubwa ya umri alijiona anaweza kunichezea atakavyo. Leo mwezi wa 4 toka nimemgeuzia mgongo, anaandika sms sijibu, nimemblock zake zote, anatumia namba za watu kutaka kurudi. Maana aliniambia amepata mchumba anataka kumwoa nikamwambia kila la heri, alizoea kuniambia the same statement, nlikuwa napambana kuhakikisha navunja mahusiano yake mapya nasamehe tunaendelea. Nimekata misaada yote, bad enough nlikuwa namsomesha chuo nalipa ada, matumizi na kila kitu, kwao wanajua amekuja mjini kufanya kazi. Kumbe anasoma chuo
Sent using Jamii Forums mobile app