>*< The BEST of Angeline Jolie >*<

Kuna filam moja amecheza nyuma ya mlima kilimanjaro kwa upande wa kenya nzuri sana, tena wanaongea kiswahili ujue huyu dada ni noma.....! Ni picha yenye lugha ya kiswahili ndani yake.....!

Mr. Ngoma hio ambayo unazungumzia nadhani ni Beyond Borders yupo na Clive Owen.
 
Siku nyngine ukija ya danzel washington naomba uni bip nitakupigia.Ila angeline juzi nimemwona kwenye red carpet alivyoweka huo mguu imekuwa gumzo mpaka leo marekani
 
Siku nyngine ukija ya danzel washington naomba uni bip nitakupigia.Ila angeline juzi nimemwona kwenye red carpet alivyoweka huo mguu imekuwa gumzo mpaka leo marekani

Mzinga ulikua wapo siku zooote? lol Pitia HAPA Basi..... hahaha.... Hata kuna member kagusi in this thread... Ina maana hujawahi angalia any of her movies?
 
Every single word noted.... Na ofcoz inatakiwa nianze level ya nursery.... Umenichekesha huo mtazamo wako wa kua committed. Umenikumbusha a discussion in MMU ambayo hadi leo sijajua kama I hate, Love or indifferent.....lol
 
Alter, I can be that person...:cool2:
 
Kuna mwalimu wa nursery kajitolea.

Alter, I can be that person...:cool2:
Ila wewe kama unataka kuniharibia dili hapa.
 
Kuna mwalimu wa nursery kajitolea.
Ila wewe kama unataka kuniharibia dili hapa.
Wewe ni shabik, na umesha sema shabik hawafai. Sasa unatakaje tena? Halafu le thread ingine (ya kutongozana) iko MMU, sio hii kabisa, so manage your efforts kijana...
 
Wewe ni shabik, na umesha sema shabik hawafai. Sasa unatakaje tena? Halafu le thread ingine (ya kutongozana) iko MMU, sio hii kabisa, so manage your efforts kijana...

Hapa (hatutongozani) bali tunaangalia jinsi ya Asha Dii kuujua mpira wa miguu.
 
Si huyuHana jipya anyway. Kwanza hata hii celebration yenyewe sijui kama anajua inaitwaje.
Really? katika celebrations zote umeona uniwekee hiyo? tena with Stromae music? hahahaha. we kamfunze tu AshaDii, si amesha sema ni sawa? so why are you trying to discredit me now?
 
Jamani Alter... why?? :A S 13:
Well, I have to admit that EMT anajua kuongea sana, siwezi kujilinganisha nae. Kwa kiswahili au kwa kiingereza. But kama kawaida ya waongeaji, this does not mean that he would initiate you better in football matters. He is a fundamentalist, and worse: he supports loosers. ndio maana ameongea sana kuhusu disapointment and cheatting (for he secretly supports my teams). Ukijifunza na yeye utajifunza kua football is a painful game. But pain can be passionate too (kama ya Yesu msalabani)
 
Really? katika celebrations zote umeona uniwekee hiyo? tena with Stromae music? hahahaha. we kamfunze tu AshaDii, si amesha sema ni sawa? so why are you trying to discredit me now?

Want to extinguish you altogether from this deal.
 
mi naimaindi mr and mrs smith hasa maongezi,
brad: honey unajua sijawahi penda upishi wako
angelina: sijawahi pika huwa na hire wapishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…