The best I've ever had

Babu ndio maana naamini ni muhimu kuwa na watu wanaojielewa, wanaotuelewa na sisi tukawaelewa. Sio unamwambia mtu "YOU ARE GOOD" alafu aanze kuuliza kwanini sio 'BEST'?X wangu alikua BETTER ndio maana yeye ameishia kuwa "GOOD"? Utata mtupu.
 
sipati raha ya kufanya chochote kwa ajili yako, maji nayaona machungu, chakula nakiona sumu!
 
Lol........u mean da world to me, im lost witout you, umtamu zaid ya sukari guru!
 
ni rahisi kusahau kila kitu kinachotokea kwenye maisha yangu, lakini ni vigumu sana kukusahau wewe!
 
kazi ipo
 
Beibe u are my everything,my heart my life and my soul.I cant live without u hny,yani navokupenda hata sijui imekuwaje sekunde bila wewe ni kama miaka hny! Sitakuja kukucheat hny mwaaaaaah!
 
Beibe u are my everything,my heart my life and my soul.I cant live without u hny,yani navokupenda hata sijui imekuwaje sekunde bila wewe ni kama miaka hny! Sitakuja kukucheat hny mwaaaaaah!

Na wewe kwa ufwala wako umetegesha bichwa unasikiliza??? Hovyo.........
 
Wewe ni mtu wa kwanza kupenda kwa dhati hivi, ukinitenda sitakuja penda tena!

Sikujua kama kupenda ni raha hivi... Wallah' wewe huna mfanowe!

Mh! AshaDii kwa maneno yako haya waallaaaaah unaniteka kabisa! Teh teh teh! Halafu sijui kwanini wanaume hawashtuki na haya maneno!! Maana waweza ambiwa na zaidi ya mwanamke mmoja na bado mnaachana, tena kwa kejeli za ajabu ajabu!
 
Eu te amo,eu preciso te dizer.tudo o dia toda anoite o meu sonho e você,eu te amo e paixão que não tem fim,dou a vida por um beijo,quero ter você para mim. Mtanisamehe sijawahi kutamkiwa maneno matamu ya kiswahili. Nalog off
 
Only you above all others speak the language of my heart.
Really???? and how many are in competition???? nitolee fujo!!!
 
Ni poa tu maana ndio mtu anavyo jisikia kwa wakati ul
Ila kuna maneno mengine yanaweza kumtia mashaka muhusika,...kama kuna wimbo nausikiaga mtu anamwambia mwenzake "these arms will worship you" lazima utaonekana unaigiza.
 
Soraya wewe ushaambiwa nini?
 
Eu te amo,eu preciso te dizer.tudo o dia toda anoite o meu sonho e você,eu te amo e paixão que não tem fim,dou a vida por um beijo,quero ter você para mim. Mtanisamehe sijawahi kutamkiwa maneno matamu ya kiswahili. Nalog off

makubwa
 
Hizo ni baadhi ya kauli tu ambazo hutumika katika mapenzi. Hebu wekeni zingine ambazo mmewahi kuzisikia ambazo watu huambiana wakiwa under the influence of hormones!

"Nakupenda sana kuliko hata wazazi wangu"
 
Tht, am the most treasured possession she has........ Quet flattering, isn't it?? Haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…