The best Android Smartphone ya Chini ya Laki 5

all around namaanisha
-camera
-ukaaji chaji
-uimara wa simu
-perfomance ya kutosha matumizi ya kila siku
-support ya simu

simu kama j7 ya 2017 ina tick box zote hizo. lakini ndio matumizi ya kawaida tu ukitaka matumizi makubwa itakuwa slow
Ila mkuu kule juu (mwanzo) umetaja j7 ya mwaka 2016, na hapa umetaja ya mwaka 2017, sijakusoma ipi nzuri.
 
all around namaanisha
-camera
-ukaaji chaji
-uimara wa simu
-perfomance ya kutosha matumizi ya kila siku
-support ya simu

simu kama j7 ya 2017 ina tick box zote hizo. lakini ndio matumizi ya kawaida tu ukitaka matumizi makubwa itakuwa slow
inapatikana bongo kwa sasa?
 
kat ya brand ya 2015 na iyo ya 2016 tofaut yake n nn
Tofauti kubwa kabisa ni battery, ya 2016 inakaa sana na chaji upande wa perfomance zinafanana,

Pia ya 2016 ina frame za alluminium hivyo inaongeza ubora, na ram wameiongeza toka 1.5gb hadi 2gb.

Sema kama unayo tayari j7 ya 2015 hakuna haja ya kununua ya 2016 subiria tu ya 2017 kama huna kabisa maybe.
 
thanxx man
 
Mi nataka smart phone cm inayokaa na charge mda mrefu ni ipi? Mengine yote ya ziada
 
Wadau nataka kununua smartphone ya Android ya chini ya ya laki 5 nishaurini ninunue ipi?
kuna njaa na majanga kagera unataka kununua simu ya hela nyingi hivyo
 
kama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata

simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x

kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.

kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
kuna simu nimeiona inaitwa techno w5 lte android version yake ni6.0 Marshmallow internet speed ni 4g lte betri3000 mah camera ni 13 px na na internal Memory ni 16 gb na pia sceen yake ina fingerprint sensory bei ni kama 250,000 unasemaje kuhusiana
 
Mi nataka smart phone cm inayokaa na charge mda mrefu ni ipi? Mengine yote ya ziada
Mkuu kwa sasa hivi soc (processor) yenye nguvu na kutunza chaji sana inaitwa snapdragon 625 fumba macho tafuta yoyote ya snapdragon 625 ujue una mtambo wa kukaa na chaji.

Mfano angalia hii ni lenovo p2 yenye snapdragon 625 na 5100mah battery kwa sasa ndio inakaa na chaji zaidi duniani (gsmarena test),
gsmarena_001.jpg

tegemea simu nyingi za 2017 kutumia hii soc, hata galaxy j7 ya 2017 itatumia hii.
 
kuna simu nimeiona inaitwa techno w5 lte android version yake ni6.0 Marshmallow internet speed ni 4g lte betri3000 mah camera ni 13 px na na internal Memory ni 16 gb na pia sceen yake ina fingerprint sensory bei ni kama 250,000 unasemaje kuhusiana
Mkuu huwa mimi sishauri watu kununua simu za mediatek, tecno etc na kama unavuka zaidi ya laki 2 nafikiri ni vyema ukatafuta angalau simu yenye ram 2gb sababu hizo simu za quadcore na ram ya 1gb zipo nyingi chini ya laki 2
 
kama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata

simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x

kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.

kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
asee jombaa iyo xiaomi inapatikana wp na bei zake vp Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom