The best Android Smartphone ya Chini ya Laki 5

Mikeyy

Senior Member
Jul 8, 2015
106
35
Wadau nataka kununua smartphone ya Android ya chini ya ya laki 5 nishaurini ninunue ipi?
 
kama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata

simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x

kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.

kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
 
Mkwawa hivi xiaomi material yake ni imara kama.kina lumia mfano kioo chake na pia hazigandi gandi mkuu
 
mkuu simu kama xiaomi ni simu zenye perfomance kubwa na bei rahisi lakini vitu vingi ni vya kawaida.

vitu kama diaplay, camera, mic, durability, support etc haviwi sawa na brand kubwa ila vitu kama processor, gpu, ram, vinakuwa vizuri kuliko simu za brand kubwa. sababu perfomance yake ni kubwa tegemea isinate nate.

hivyo inategemea unataka nini kwenye simu, kwa watumiaji wa kawaida ambao hata games kubwa hawachezi ni vyema kwenda brand kubwa kwa kutafuta simu kama j7 sababu mtu wa kawaida anapenda camera nzuri, display nzuri etc,

ila kwa power user mwenye matumizi mengi anaweza ishi na display ya kawaida ili apate perfomance nzuri.
 
Kwa m

Mfano unapoi compare na akina 640 dual na 535 ipi bora
 
kwa hardware za ndani xiaomi zinakuwa na hardware nzuri zaidi ila kwenye long term perfomance za lumia zinakuwa nzuri sababu android kila unavyoitumia na kueka apps nyingi inakuwa slow.
 
kama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata

simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x

kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.

kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,

Mkuu umetaja moja apo ni perfomance, hizo zingine umetumia vigezo gani? vya camera?
 
all around namaanisha
-camera
-ukaaji chaji
-uimara wa simu
-perfomance ya kutosha matumizi ya kila siku
-support ya simu

simu kama j7 ya 2017 ina tick box zote hizo. lakini ndio matumizi ya kawaida tu ukitaka matumizi makubwa itakuwa slow
 
Asante mkuu wangu kwa prompty reply.
 
Back
Top Bottom