The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

Open AI imefunika wote hao.

Hawa bado sana-
Anthropic AI
Mistral AI
Meta AI
 
GERMINI (GOOGLE)
GEMINI AI wapo vizuri ila kuna vitu haiwezi kufanya, haiwezi kupiga picha na kukwambia kilichomo kwenye picha, labda mfano picha ya nyumba inakwambia haiwezi kuona kilichomo kwenye picha sanasana ukipiga screenshot
 
2. Nyangumi yuko deep Ila sio latest.
1. Grok mkali sana yupo update.
 
Germin ukiwa upo na VPN ni kipengele
Chat gtp ukimtask aku editie picha mnaanza mizungukoooo
Grok anajitahidi. Yup fasta japo kwenye ku search material chat gpt Yuko vyema.
 
kwenye ku search material chat gpt
Hii ni balaa.. GTP sio mchezo anavunja na kupasua.. kuna Mzee juzi hapa nikamsikia anasema vijana wapewe vitabu wasome waachane na masuala ya AI eti AI haina maana yoyote.. nikacheka kidogo... shida GPT anaweza akaenda deep sana mpaka ukavurugwa
 
Back
Top Bottom