Hivi imekaa vizuri asee
Hiyo polish kwenye mbao hauwezi kuteleza kwenye ngazi kweli?Inapendeza sana
Kweli hzi ngazi ukiwa na viatu au soksi ukiongezea na vol 45% kichwan unaweza kuta umepiga mserereko huoHiyo polish kwenye mbao hauwezi kuteleza kwenye ngazi kweli?
Haswa ukiwa peku na miguu ina maji/unyevu kiasi..