The awakening Afrikan Family Church

The awakening Afrikan Family Church

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,395
Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA.

Mimi ninaanzisha hii dini kwa WAAFRIKA wanaojitambua tu, weka hapa makala, maoni, picha, ushuhuda visivyo kashifu dini nyingine lengo likiwa ni kuwaamusha waafrikana waliopotea.

MISINGI:-
Msingi mkubwa wa dini hii utakuwa ni kuwaamusha WAAFRIKA kwa kuwakumbusha walikotoka na walipokosea na pia kurekebisha yale yote wanayodhani ni dhambi kwa kukaririshwa na wazungu.

LENGO KUU:
Lengo ni kuondoa unyonyaji unaoendelezwa na wakoloni weusi kupitia sadaka na zaka hasa kwakuwanyonya madikini wa fikira na mali waliowengi mbadala wake uwe ni kuwainua maskini wote kwa kuwawezesha kutokana na dini hii hivyo kuondoa SADAKA bali kuwapa WAO SADAKA kitu ambacho kinawezekana

WAUUMINI wa dhehebu hili wataweza kuwasaidia MASIKINI kwa kuwapa UWEZO WA KIMAISHA kupitia MICHANGO itakayopatikana katika IBADA zetu hakuna MASIKINI atakayelazimishwa kuleta PESA kanisani hadi atakapoweza kusimama kiuwezo ndipo na yeyevataanza KUWACHANGIA wengine kuweza kuwainua.

View attachment 2822069View attachment 2822070View attachment 2822071View attachment 2822072
 
Kwani unaliota kanisa na usiliite nyumba ya mizimu? Je huoni hiyo AFRIKA FAMILY CHURCH bado hao wazungu kama unavyosema. Kwa kuwa Church ni "kusanyiko la waamini wanaomuamini Yesu Kristo". Kwanini usiilipe jina jingine?

Kwanini msiliiye Kilinge kama Mshana Jr mzee wa kilingeni anavyosemaga humu. Je huoni una jiambatanisha na UKRISTO? We bado mdogo sana na hata uwezo wako wa kungamua mambo ni mdogo sana.

IQ yako ni sawa na ya mbuzi tu ya kuvukia barabara. Relax ujue mambo ya kimwili kwamza ndio uje kwenye hizo issue za kiroho unazozikimbilia. Bado sana dogo.
 
Ethiopia na Misri walishaanza zamani sana na Coptic Church.
 
Kwani unaliota kanisa na usiliite nyumba ya mizimu? Je huoni hiyo AFRIKA FAMILY CHURCH bado hao wazungu kama unavyosema. Kwa kuwa Church ni "kusanyiko la waamini wanaomuamini Yesu Kristo". Kwanini usiilipe jina jingine?

Kwanini msiliiye Kilinge kama Mshana Jr mzee wa kilingeni anavyosemaga humu. Je huoni una jiambatanisha na UKRISTO? We bado mdogo sana na hata uwezo wako wa kungamua mambo ni mdogo sana.

IQ yako ni sawa na ya mbuzi tu ya kuvukia barabara. Relax ujue mambo ya kimwili kwamza ndio uje kwenye hizo issue za kiroho unazozikimbilia. Bado sana dogo.
Ujinga wako unachukulia maana ya kanisa kibiblia zaidi kwakuwa umeathirika na maono ya kimagharibi.

Neno KANISA katika maono ya lugja ya kiswahili ambayo ni lugha ya Kiafrika inamaana ya NYUMBA YA MUNGU siyo nyumba ya yesu.

Huko china,india,japan,nk kokote kule nyumba wanayoabudia kwa lengo la kumuomba MUNGU wa wote ni KANISA LA MUNGU,siongelei kanisa la yesu kibiblia.

Kwa mtu kama wewe usiye na UBONGO wa Kiafrika ni ngumu sana kuelewa maana halisi ya MWAFRIKA kwani ulishaolewa kifikra na wazungu hutokaa uelewe kitu hiki.
 
Kwa ubongo wako butu unaweza kusema Religion ni dini ya yesu/dhehebu la yesu
 
Ujinga wako unachukulia maana ya kanisa kibiblia zaidi kwakuwa umeathirika na maono ya kimagharibi.

Neno KANISA katika maono ya lugja ya kiswahili ambayo ni lugha ya Kiafrika inamaana ya NYUMBA YA MUNGU siyo nyumba ya yesu.

Huko china,india,japan,nk kokote kule nyumba wanayoabudia kwa lengo la kumuomba MUNGU wa wote ni KANISA LA MUNGU,siongelei kanisa la yesu kibiblia.

Kwa mtu kama wewe usiye na UBONGO wa Kiafrika ni ngumu sana kuelewa maana halisi ya MWAFRIKA kwani ulishaolewa kifikra na wazungu hutokaa uelewe kitu hiki.
Hahaaaaaaa dogo we "empty head" kabisa na inawezekana ni "psychiatric". Yaani kanisa ni sehemu ambayo watu wanamuomba Mungu. Sasa Sisi waislam hatumuabudu Mungu? Wahindi nao wanapoenda kwenye mahekalu yao hawamuabudu Mungu wao? Hao wachina wanaoabudu dragons huwa wanaenda kwenye kanisa? Kama kanisa ni hivyo, hekalu ina maana gani? Pumbavu kabisa wewe.
 
Unaona unaandika wewe na kujipinga mwenyewe. Wewe inawezekana ndio Deo Kisandu umekuja kivingine.
Tatizo unasoma makala yasiyokuhusu,kujichanganya kivipi au huelewi nini kilichoandikwa,unachomaanisha wewe ni:-RELIGION ndiyo dini ya yesu wako kwaakili zako wewe
 
Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA.

Mimi ninaanzisha hii dini kwa WAAFRIKA wanaojitambua tu, weka hapa makala, maoni, picha, ushuhuda visivyo kashifu dini nyingine lengo likiwa ni kuwaamusha waafrikana waliopotea.

MISINGI:-
Msingi mkubwa wa dini hii utakuwa ni kuwaamusha WAAFRIKA kwa kuwakumbusha walikotoka na walipokosea na pia kurekebisha yale yote wanayodhani ni dhambi kwa kukaririshwa na wazungu.

LENGO KUU:
Lengo ni kuondoa unyonyaji unaoendelezwa na wakoloni weusi kupitia sadaka na zaka hasa kwakuwanyonya madikini wa fikira na mali waliowengi mbadala wake uwe ni kuwainua maskini wote kwa kuwawezesha kutokana na dini hii hivyo kuondoa SADAKA bali kuwapa WAO SADAKA kitu ambacho kinawezekana

WAUUMINI wa dhehebu hili wataweza kuwasaidia MASIKINI kwa kuwapa UWEZO WA KIMAISHA kupitia MICHANGO itakayopatikana katika IBADA zetu hakuna MASIKINI atakayelazimishwa kuleta PESA kanisani hadi atakapoweza kusimama kiuwezo ndipo na yeyevataanza KUWACHANGIA wengine kuweza kuwainua.

View attachment 2822069View attachment 2822070View attachment 2822071View attachment 2822072
Wazo zuri lakini kwenye misingi shirikiana na watu wengine kuiandaa.

MAGUFULI4LIFE.
 
Watu mkishashibaga mbege bwana 🤣🤣
 
Ujinga wako unachukulia maana ya kanisa kibiblia zaidi kwakuwa umeathirika na maono ya kimagharibi.

Neno KANISA katika maono ya lugja ya kiswahili ambayo ni lugha ya Kiafrika inamaana ya NYUMBA YA MUNGU siyo nyumba ya yesu.

Huko china,india,japan,nk kokote kule nyumba wanayoabudia kwa lengo la kumuomba MUNGU wa wote ni KANISA LA MUNGU,siongelei kanisa la yesu kibiblia.

Kwa mtu kama wewe usiye na UBONGO wa Kiafrika ni ngumu sana kuelewa maana halisi ya MWAFRIKA kwani ulishaolewa kifikra na wazungu hutokaa uelewe kitu hiki.
Nyumba ya Mungu ,sio ya Yesu🤔
Thinking aloud!

Tofauti ni nn hapa mkuu? Msaada!
 
Watu mkishashibaga mbege bwana [emoji1787][emoji1787]
Hawa nao walishiba mbege?
2023_11_22_22.39.37_edit.jpg
 
Hahaaaaaaa dogo we "empty head" kabisa na inawezekana ni "psychiatric". Yaani kanisa ni sehemu ambayo watu wanamuomba Mungu. Sasa Sisi waislam hatumuabudu Mungu? Wahindi nao wanapoenda kwenye mahekalu yao hawamuabudu Mungu wao? Hao wachina wanaoabudu dragons huwa wanaenda kwenye kanisa? Kama kanisa ni hivyo, hekalu ina maana gani? Pumbavu kabisa wewe.
Nimekuwekea hii labda itakufikirisha
2024_01_01_19.33.43.jpg
 
Back
Top Bottom