The awakening Afrikan Family Church

The awakening Afrikan Family Church

Nimekuwekea hii labda itakufikirishaView attachment 2859467
Tatizo Waafrika hamtaki kujifikilisha!!
2024_01_01_19.36.11.jpg
 
Kama unataka kuwa successful na hiyo dini Yako nicheki pm, nitakupa ABC's za jinsi ya kutengeneza strong religion.
 
Kanisa la uongo Hilo kabla hata halijaanza

Kwenye ukristo hakuna myunani,Wala myahudi Wala mwafrika kanisa la Kristo ni la watu wote

Hilo lako la African Church la kipepo

Mwili wa Kristo ni mmoja haugawanyiki Kwa misingi ya uafrika au uzungu
 
Hii inakujibu
1704216866886.jpg
 
Jina sahihi ni kilinge Cha mizimu.
Ukishasema neno family,neno church Bado umewaiga wazungu
 
Ujinga wako unachukulia maana ya kanisa kibiblia zaidi kwakuwa umeathirika na maono ya kimagharibi.

Neno KANISA katika maono ya lugja ya kiswahili ambayo ni lugha ya Kiafrika inamaana ya NYUMBA YA MUNGU siyo nyumba ya yesu.

Huko china,india,japan,nk kokote kule nyumba wanayoabudia kwa lengo la kumuomba MUNGU wa wote ni KANISA LA MUNGU,siongelei kanisa la yesu kibiblia.

Kwa mtu kama wewe usiye na UBONGO wa Kiafrika ni ngumu sana kuelewa maana halisi ya MWAFRIKA kwani ulishaolewa kifikra na wazungu hutokaa uelewe kitu hiki.
Churches ni kwenye Christian alone huko Asia ukuti neno church nje ya Ukristo
 
Ukweli kabisa.Mizimu ni vitu dhaifu sana na kuanza kuvifuata ni kujiongezea udhaifu.Mleta mada ni mtu duni na dhaifu sana.
Kwahiyo hata yesu alikuwa mnyonhe ndiyo maana alikufa?wote wanaokufa ni wanyonge?hiyo ni hoja mfu na haina mashiko.

TIME WILL TELL!!
 
Ukweli kabisa.Mizimu ni vitu dhaifu sana na kuanza kuvifuata ni kujiongezea udhaifu.Mleta mada ni mtu duni na dhaifu sana.
Mizimu ni poor against Christianity and Islam religion ingekuwa na nguvu ingezuia hizi dini zisienee Africa
 
Mizimu ni poor against Christianity and Islam religion ingekuwa na nguvu ingezuia hizi dini zisienee Africa
Je, wachina,vietinam,india,korea,nk pia kwao uislam na ukristu una nguvu zaidi ya mila zao?

Ujinga ni mzigo,kwanini huko uislam na ukristo hauna nguvu?
1704242602090.jpg
1704216866886.jpg
1704093812671.jpg
1704028564163.jpg
 
Back
Top Bottom