The Atheists Paradox

The Atheists Paradox

KITABU KILICHOJAA UTATA, KISICHO NA MWELEKEO NA MTIRIRIKO WA HOJA

Tunaponukuu aya yenye utata, chuki au ya kuanika uongo wa Waislamu kwenye Qur'an, Waislamu huja juu na kuipinga vikali huku wakisema kuwa aya hiyo haijakamilika hadi tusome aya inayoitangulia juu yake, au inayoifuatia chini yake.

Kwa maana hiyo basi, embu tuzitazame hizi aya zilizoandikwa kwa ‘mtiririko' wa namba 191, 192, 193, 194 na 195 tuone kama kweli zinajenga hoja ya mtiririko na utashangazwa sana vile Kuran inayodaiwa kuwa ni mwongozo mzuri wa Waislamu.

KUMBUKA: Maelezo yangu nimeyaweka kwenye mabano (&#8230😉

QUR'AN: Sura Al Baqara 2:191-195:
****************************** ************
191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.

(…kama fitina ni mbaya kuliko kuuwa ya nini basi muwauwe? Mara msiwapige kwenye Msikiti mtakatifu mara wapigeni, ipi ndio ipi? Anayelipiza ni Waislamu au ni Allah?)
192. Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
(…nani asamehewe hapa, makafiri au Waislamu maana wote wametenda dhambi kwa kupigana)
193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
(…lakini si Mwenyezi Mungu amesema kwenye aya ya 192 kuwa ni mwenye kusamehe, vipi tena awaamuru mpigane nao (makafiri?))
194. Mwezi mtakatifu kwa mwezi mtakatifu. Na vitu vitakatifu vimeekewa kisasi. Anaye kushambulieni nanyi mshambulieni, kwa kadiri alivyo kushambulieni. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu yu pamoja na wachamngu.
(…hivyo kushambulia anayekushambulia ndio kumcha mungu? SERIOUSLY????)

195. Na toeni katika njia ya Mwenyezi Mungu, wala msijitie kwa mikono yenu katika maangamizo. Na fanyeni wema. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wafanyao wema.

(…lakini Mwenyezi Mungu si amesema kwenye aya za 191, 193 na 194 kuwa mpigane nao na kuwauwa. Vipi tena anawaagiza msiwaangamize kwa mikono yenu?)

TATHMINI:
Qur'an ni kitabu kilichojaa utata, fitina, chuki na kibali cha kuuwa wasio Waislamu.

Aya zake hazina mtiririko. Kila aya inajisimamia kivyake na haihusiani na aya inayoitangulia au kuifuatia.

Kwenye aya moja, Allah anaamuru wafuasi wake kuwapiga wasio Waislamu huku nyingine kuwasamehe. Ifuatwe ipi?

Allah ni popo, kinyonga, ndumakuwili na jongoo-dhibitisho ni maandiko yake na tabia ya wafuasi wake.

Last edited by a moderator:
Thanks, I am always humble to know when people say i do not know
Tell me, what is morality or what you call it moral?

Moral has to do with right and wrong behavior and the goodness or badness of human character. Now, how are you going to have right and wrong without God?
 
Moral has to do with right and wrong behavior and the goodness or badness of human character. Now, how are you going to have right and wrong without God?

Through human intellect. I mean human reason. do you mean we get right and wrong from God?
 
Through human intellect. I mean human reason. do you mean we get right and wrong from God?
Intellect has nothing to do with right and wrong. It is through intellect, ISIS are killing others. It is through intellect, doctors are performing abortions.
 
Kiongozi salama. Huyo jamaa huwa anashangaza sana. Huwa hata sielewi nini anataka na kusema. Mwingine hapo juu anatuka kweli kweli. Eti ndio anafanya kazi ya Allah. Kaazi kweli kweli.
Kiongozi hawa viumbe wengine ni kaazi kweli kweli!!
 
Intellect has nothing to do with right and wrong. It is through intellect, ISIS are killing others. It is through intellect, doctors are performing abortions.

The issue of ISIS is rooted in religious beliefs, not human reason. Saying human reasons does not mean that we can't make mistakes. Do you think abortion is wrong?
 
The issue of ISIS is rooted in religious beliefs, not human reason. Saying human reasons does not mean that we can't make mistakes. Do you think abortion is wrong?
FYI: ISIS beliefs are human reasoning, just like Fascism aka non theism is human reasoning. To be more precise, fascism is by default non theism.
 
The issue of ISIS is rooted in religious beliefs, not human reason. Saying human reasons does not mean that we can't make mistakes. Do you think abortion is wrong?
The said religion is based on human reasons. Just like you, your belief is based on human reasons and not a Deity. Murdering humans is wrong, yes, abortion is wrong.
 
Itabidi tuanze kutoa Mapepo yaliyo ndani yao.
Ni kweli kabisa kiongozi maana wanateseka sana ....
Habari ya masiku Mtumishi wa Mungu.
Mtumishi Yesu Mungu mkuu anazidi kushinda kila siku .....

Shetani na vibaraka wake wanapata viboko kila uchao mtumishi .....!!
 
Ni kweli kabisa kiongozi maana wanateseka sana ....

Mtumishi Yesu Mungu mkuu anazidi kushinda kila siku .....

Shetani na vibaraka wake wanapata viboko kila uchao mtumishi .....!!
Naona mpaka wapinga Mungu wamesha saliti mari, wapo kimya sasa. HAKIKA YESU ANAENDELEA KUSHINDA KILA SIKU
 
The said religion is based on human reasons. Just like you, your belief is based on human reasons and not a Deity. Murdering humans is wrong, yes, abortion is wrong.

I am bored by the discussions which do not help at all
I wanna turn to abortion issue.
You said killing a human being is wrong, which i think in principle is true.
Therefore, do you mean that a zygote is a human being?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom