Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,320
I still do not understand why atheists have problems with Christians only, why not Hinduism? why not Buddhism, Islam or Shinto from China? is there any reason why Christianity seems to be their biggest target?
Zaidi ni kuwa mashitaka aliyoshitakiwa nayo Bwana Yesu Kristo ndiyo msingi wa shutuma za Atheist kwa Wakristo.
Wao wanashutumu Ukristo na vurugu duniani wakati Bwana Yesu Naye alishitakiwa kwa uongo huo huo na ndipo alipomwambia pilato kuwa Ufalme wake si wa dunia hii kwa kuwa ungekuwa wa dunia hii wafuasi wake wangepambana asifikishwe kwake.
Pilato akiwa amejulishwa juu ya mwanafunzi wa Bwana Yesu Kumkata sio mmoja wa maaskari na Bwana Yesu kulirudisha na kukataza matumizi ya upanga. Aling'amua kuwa mashitaka ni ya hila tu.
Nasi tunao wajibu kuthibisha kwa Atheist hawana hoja dhidi yetu.