The Atheists Paradox

The Atheists Paradox

Mboma mnajibidisha kudanganya ? Mwenye akili gani atasoma Quran ? Na asome Quran ili iweje ?
Quran hukaririwa haisomwi kueleweka kwa kuwa yenyewe ni muujiza na kuona muujiza wa Quran lazima ujue lugha ya Allah ambayo ni kiarabu.

Achen ghilba..

Unaogopa kusoma Quran?

Kuwa katika lugha ya asili , Quran imejiwekea kinga ya kutofanyiwa uharibifu na upotoshaji kama ambavyo Biblia inafanyiwa. Hilo pekee ni jambo jema kwa mwenye kutumia akili.

Wewe unazungumza kiswahili ,kiingereza nk kwa nini iwe ni dhambi kujifunza kiarabu?

Last edited by a moderator:
Why do you think that human have some intrinsic value you wrote about ?
Who puts those intrinsic values in human. Who/what is transcend to all human being to be able to put intrinsic value to all human races ?
Are the value caused by dancing of human DNA ?

I think so because we do have human life. everyone has life. It is an naturalistic account of human dignity and not religious. I do not know the base of your question that "Are the values caused by dancing of human DNA"
 
Yule alipeka ujumbe wa Mungu kwa Bikira Maria anaitwa nani vile?

Gabriel (Jibril in Arabic). link http://en.wikipedia.org/wiki/Archangel

Je unaweza sasa kujijibu swali ulilouliza hapo juu juu ya Allah kumtuma Jibril?
Nope, Jibril is not Gabriel. Since the Quran claims to be fully detailed, completely exhaustive, can you please tell us who Gabriel is by using the Quran alone?
Was Gabriel a human being whom Allah sent to assist Muhammad? Was he an angel or was he a jinn? One may even ask if he is in a category different from all these.
Was Michael an angel, a jinn or a human messenger? Please answer this by using the Quran alone.
Were the messengers whom Allah sent to destroy Lot’s people human beings, or were they angels? Perhaps they were actually from the jinn? How do you know?
 
"Respect" is no part of moral. It seems you don't even know what is "moral"?

Thanks, I am always humble to know when people say i do not know
Tell me, what is morality or what you call it moral?
 
.......

Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini alimtuma Jibril kumwombea Muhammad wakati akifahamu kuwa Muhammad atakufa?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,

Yule alipeka ujumbe wa Mungu kwa Bikira Maria anaitwa nani vile?

Malaika Gabriel.
Gabriel (Jibril in Arabic). link http://en.wikipedia.org/wiki/Archangel

Je unaweza sasa kujijibu swali ulilouliza hapo juu juu ya Allah kumtuma Jibril?

Nope, Jibril is not Gabriel. Since the Quran claims to be fully detailed, completely exhaustive, can you please tell us who Gabriel is by using the Quran alone?
Was Gabriel a human being whom Allah sent to assist Muhammad? Was he an angel or was he a jinn? One may even ask if he is in a category different from all these.
Was Michael an angel, a jinn or a human messenger? Please answer this by using the Quran alone.
Were the messengers whom Allah sent to destroy Lot's people human beings, or were they angels? Perhaps they were actually from the jinn? How do you know?

Surat Maryam [19:16-22] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Surat 'Ali `Imran [3:45-50] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Sasa eleza , Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
 
I think so because we do have human life. everyone has life. It is an naturalistic account of human dignity and not religious. I do not know the base of your question that "Are the values caused by dancing of human DNA"

We believer believes that the knowledge of good and evils is a result of creator who put human being in top of all other creatures.
It is the creator who gave the intrinsic value in human beings. Unless you have other explanation to refute to these facts, otherwise these facts are self evident for the creator / God
 
Yule alipeka ujumbe wa Mungu kwa Bikira Maria anaitwa nani vile?

Gabriel (Jibril in Arabic). link http://en.wikipedia.org/wiki/Archangel

Je unaweza sasa kujijibu swali ulilouliza hapo juu juu ya Allah kumtuma Jibril?

Surat Maryam [19:16-22] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Surat 'Ali `Imran [3:45-50] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Sasa eleza , Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
Yale yale. Kijana hivi unafikiri watu bado wapo zama za ujima katika Uislam?

Hivi Jibril alipeleka Ujumbe wowote ule kwa mama yake Muhammad?

Kama jibu lako ni ndio, nipe huo ujumbe?
Kama jibu lako ni hapa, niambie, kwanini Allah hakutuma ujumbe kuhusu mtume wake wa pekee Muhammad?
 
Unaogopa kusoma Quran?

Kuwa katika lugha ya asili , Quran imejiwekea kinga ya kutofanyiwa uharibifu na upotoshaji kama ambavyo Biblia inafanyiwa. Hilo pekee ni jambo jema kwa mwenye kutumia akili.

Wewe unazungumza kiswahili ,kiingereza nk kwa nini iwe ni dhambi kujifunza kiarabu?

Tatizo la kutumia imagination instead of reasoning
Mnaitikadi kwamba Quran ni maneno ya mungu wenu copy/cut
Kwa kujitoa akili mnajifanya hamfahamu juu ya aya za shetani ndani ya Quran ambazo zingewazindua akili kujua kwamba mnadanganywa kwamba Quran ni copy/cut maneno ya mungu
Kikubwa ni kukosa hekima kutambua kwamba Kama kiarabu pekee ndiyo lugha ya kuelewa Quran ni moja ya mbinu chafu kufisha uwezo wenu wa kutafakari yaliyomo kwa lugha mnayoielewa zaidi.
Kwa ujuha mnajiona wajanja katika ujuha wazi namna hiyo...
 
Last edited by a moderator:
Nope, Jibril is not Gabriel. Since the Quran claims to be fully detailed, completely exhaustive, can you please tell us who Gabriel is by using the Quran alone?
Was Gabriel a human being whom Allah sent to assist Muhammad? Was he an angel or was he a jinn? One may even ask if he is in a category different from all these.
Was Michael an angel, a jinn or a human messenger? Please answer this by using the Quran alone.
Were the messengers whom Allah sent to destroy Lot's people human beings, or were they angels? Perhaps they were actually from the jinn? How do you know?

Pata ushahidi hapa halafu endelea na ukafiri wako.

Link Surat Al-Baqarah [2:97-98] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
 
Tatizo la kutumia imagination instead of reasoning
Mnaitikadi kwamba Quran ni maneno ya mungu wenu copy/cut
Kwa kujitoa akili mnajifanya hamfahamu juu ya aya za shetani ndani ya Quran ambazo zingewazindua akili kujua kwamba mnadanganywa kwamba Quran ni copy/cut maneno ya mungu
Kikubwa ni kukosa hekima kutambua kwamba Kama kiarabu pekee ndiyo lugha ya kuelewa Quran ni moja ya mbinu chafu kufisha uwezo wenu wa kutafakari yaliyomo kwa lugha mnayoielewa zaidi.
Kwa ujuha mnajiona wajanja katika ujuha wazi namna hiyo...

Soma neno la "mungu" hapa link Ezekiel 23:20 There she lusted after her lovers, whose genitals were like those of donkeys and whose emission was like that of horses.
 
.......

Kama kweli Allah ni Mungu, kwanini alimtuma Jibril kumwombea Muhammad wakati akifahamu kuwa Muhammad atakufa?
Mungu awabariki sana,
Katika Huduma Yake,

Yule alipeka ujumbe wa Mungu kwa Bikira Maria anaitwa nani vile?

Surat Maryam [19:16-22] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Surat 'Ali `Imran [3:45-50] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Sasa eleza , Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?

Yale yale. Kijana hivi unafikiri watu bado wapo zama za ujima katika Uislam?

Hivi Jibril alipeleka Ujumbe wowote ule kwa mama yake Muhammad?

Kama jibu lako ni ndio, nipe huo ujumbe?
Kama jibu lako ni hapa, niambie, kwanini Allah hakutuma ujumbe kuhusu mtume wake wa pekee Muhammad?
Ndio umejibu hapo? Kama hukuona maswali nayarudia hapa.

Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
 
We believer believes that the knowledge of good and evils is a result of creator who put human being in top of all other creatures.
It is the creator who gave the intrinsic value in human beings. Unless you have other explanation to refute to these facts, otherwise these facts are self evident for the creator / God

First they are not facts
I am happy you used the word believers "believes". My account on the intrinsic human value was naturalistic one. It was not based on any religion.
So when you follow you claim does it mean that when someone stop believing in creator does it follow necessarily that the intrinsic human value disappear?
Additionally, you argument is begging the question when you say it the creator who gave the intrinsic value. How do you know that?Which creator? when did he or she give it? and what is she or he?
 
Ndio umejibu hapo? Kama hukuona maswali nayarudia hapa.

Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
Wewe huna jipya zaidi ya kuonyesha kuwa Yesu ni Mungu, ndio maana Malaika wake Yesu alitangulia kupeleka Ujumbe. Sasa nionyeshe, wapi Allah anapeleka ujumbe kuhusu Muhammad?

Ujumbe wa Gabriel ulikuwa kuhusu Mfalme wa Wafalme, Yesu Kristo kuja Duniani.

Aliye Mtuma ni Yesu Mungu.
 
First they are not facts
I am happy you used the word believers "believes". My account on the intrinsic human value was naturalistic one. It was not based on any religion.
So when you follow you claim does it mean that when someone stop believing in creator does it follow necessarily that the intrinsic human value disappear?
Additionally, you argument is begging the question when you say it the creator who gave the intrinsic value. How do you know that?Which creator? when did he or she give it? and what is she or he?
You are a believer too. In fact, your faith needs more faith to believe in NO GOD without evidence.
 
Tatizo la kutumia imagination instead of reasoning
Mnaitikadi kwamba Quran ni maneno ya mungu wenu copy/cut
Kwa kujitoa akili mnajifanya hamfahamu juu ya aya za shetani ndani ya Quran ambazo zingewazindua akili kujua kwamba mnadanganywa kwamba Quran ni copy/cut maneno ya mungu
Kikubwa ni kukosa hekima kutambua kwamba Kama kiarabu pekee ndiyo lugha ya kuelewa Quran ni moja ya mbinu chafu kufisha uwezo wenu wa kutafakari yaliyomo kwa lugha mnayoielewa zaidi.
Kwa ujuha mnajiona wajanja katika ujuha wazi namna hiyo...
Endelea kusoma maneona ya "mungu" usichoke. Link Ezekiel 23:21 So you longed for the lewdness of your youth, when in Egypt your bosom was caressed and your young breasts fondled.
 
Naona umekimbia maswali yangu kama ulivyo utamaduni wako na wenu nyie waislam. Hivi lini mtaanza kujibu maswali?
Uwe mstaarabu. hukuona hayo maswali au unaogopa nini?

Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
 
Can you give me the reasons of why god should exists in this world?
I am not responsible for that. You can ask Him, if you don't know how to get in touch with Him, ask charles darwin.

NOW: You tell me, why are you addicted To God? How many times [per day] do you mention Him?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom