Kiongozi salama. Huyo jamaa huwa anashangaza sana. Huwa hata sielewi nini anataka na kusema. Mwingine hapo juu anatuka kweli kweli. Eti ndio anafanya kazi ya Allah. Kaazi kweli kweli.Kama unashindwa kuwatofautisha watu wawili tofauti wanaoandika hapa JF,hivi utaweza kuyaelewa maandiko yenye pumzi ya Mungu wewe?
No, Muhammad is god of Islam.
Soma hii ile kitu unapenda au pia husomi hii?Nonda, I don't watch junks.
Nonda, pata somo kutoka Dr. Paul Hussein Mubaraka, sasa ameokoka.Nimeona mjadala wenu hapa na mi napenda niongeze kitu,japo nashindwa weka link yake hapa ya youtube naomba ISHMAEL usaidie kuweka au yeyote anayeweza.
Inahusu huyu sheikh anaitwa Paul Hussein Mubarak search kwa kuandika"ushuhuda wa sheikh aliokoka YESU ndani ya Quran" ziko nne wamsikilize wajue nini kinaendelea katika mafundisho yao
Kama umemsikiliza anataja ayat ya sura 3:45
Msikilize halafu isome ayat hapa Surat 'Ali `Imran [3:45] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
link Surat 'Ali `Imran [3:49] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Anadanganya na anawadanganya. Hizo digree 4 na kuwa amepewa ukuu wa kazi ya uislamu na maraisi aliowataja hiyo ni tumbaku kali sana.
Hiko kitu hamna katika uislamu. Marais wa nchi mbali mbali wampe Dr Kamis kazi ya kusimamia uislamu. Duu jamaa hata kudanganya hajui. Alifikiri hiyo video itaishia kanisani.?
Mimi sio kama wewe unaekejeli huna muda wa kutizama au kusikiliza junk. Nimeiangalia na nimegundua anadaganya sana. Si ajabu wewe hata kumsikiliza hujamsikiliza na hizo ayat alizitaja mwanzoni nimeziweka hapo ili mtu apate kulinganisha asemayo Dr. Paulo (na amejua kujichagulia jina la kudanganyia kondoo) na hizo ayat alizozitaja.Kumbe Somo limekuingia kisawasawa
Mimi sio kama wewe unaekejeli huna muda wa kutizama au kusikiliza junk. Nimeiangalia na nimegundua anadaganya sana. Si ajabu wewe hata kumsikiliza hujamsikiliza na hizo ayat alizitaja mwanzoni nimeziweka hapo ili mtu apate kulinganisha asemayo Dr. Paulo (na amejua kujichagulia jina la kudanganyia kondoo) na hizo ayat alizozitaja.
Kwa atakaezipitia hizo ayat atajua kuwa Dr. Paulo amemshinda Paulo mwasisi wa ukristo kwa kukoleza tumbaku ya ngano zake.
Mpeni Challenge Dr. Paulo awaoneshe ayat aliyotumia kujigeuza paka au panya kwenye Quran.
Ni bora nijisomee hekaya za wagagaikoko kulikoni hekaya za Dr. Paulo.