Unakusudia kusema kuwa Mungu ana miaka 2000?Neno alitwaa mwili... Muislam na reasoning wapi na wapi ?
Aliyezaliwa anakuwa hai zaidi ya miaka 2000 ? Huwezi tafakari japo kiduchuuu !
Neno aliitwa mwili na mwili aliitwa nani?
Are you that desperate?
Lete hadithi ya Bikira Maria alipotembelewa na Malaika kumpelekea ujumbe. Aliambiwa nini?
Malaika alisema ametumwa na nani?
Usiongeze chumvi lakini, haya Leta hadithi mchungaji.