The Atheists Paradox

The Atheists Paradox

How will a deity who can not have a son without Allat comprehend incarnation? If allah is akbar, then your question fallacious.
Ni Paulo pekee mwanzilishi wa dini ya kikristo ndiye anafahamu incarnation. Hata wewe Mr. Kitimato hufahamu hii kitu ni ukasuku tu.
Eti incanation of God!!

Wewe ieleze hiyo dhana ya incarnation ujione unavyojipaka matope.

Incarnation Christianity The doctrine that the Son of God was conceived in the womb of Mary and that Jesus is true God and true man. incarnation - definition of incarnation by The Free Dictionary

Umeona wapi Mungu na doctrines? Paulo tu ndio anabuni doctrines za kukusanyia sadaka kutoka kwa kondoo. Ukiuliza maswali unaambiwa ni "Mystery".

one of a series of lives that a person is believed to have had in the past in some religions. Kama dini ya Paulo na dini za wahindi na mabuda.

Pata hii Allah - definition of Allah by The Free Dictionary
 
Allaah ni mungu wa washirikina wa Makkah, Muhammad alimkarabati na kumfanya ndiye true god wa Waislam. That Means Allaah is a man made god and not a true God.
Tatizo misukule ninyi hamuwezi kutafakari na kutafuta ukweli nje ya Quran na Muhammad. Mkiambiwa ukweli huu mnaleta aya ya Quran kuupinga. Quran imeandikwa baada ya Muhammad lakini allaah alikuwepo ndani ya kaabah kabla Muhammad hajazaliwa.
Hamuwezi kujifunza kupitia historia kwa kuwa mmefungwa na kukatazwa kuujua ukweli, matokeo yake mmekuwa mazuzu mkitetea msichokijua.
Uhalali wa Quran mnaupata kwa Muhammad na ukweli kuhusu Muhammad mnaupata kwenye Quran. Aliyekuwa anaghani Quran Muhammad lakini mijuha ninyi mnaaminishwa kwamba ukweli wote kuhusu mghani wa Quran uko ndani ya Quran.
Toka nje ya box msukule wewe
 
Kiongozi, naona umegonga Msumari wa Mwisho kwenye Jeneza, jamaa hato rudi tena.
 
Allaah ni mungu wa washirikina wa Makkah, Muhammad alimkarabati na kumfanya ndiye true god wa Waislam. That Means Allaah is a man made god and not a true God.
Tatizo misukule ninyi hamuwezi kutafakari na kutafuta ukweli nje ya Quran na Muhammad. Mkiambiwa ukweli huu mnaleta aya ya Quran kuupinga. Quran imeandikwa baada ya Muhammad lakini allaah alikuwepo ndani ya kaabah kabla Muhammad hajazaliwa.
Hamuwezi kujifunza kupitia historia kwa kuwa mmefungwa na kukatazwa kuujua ukweli, matokeo yake mmekuwa mazuzu mkitetea msichokijua.
Uhalali wa Quran mnaupata kwa Muhammad na ukweli kuhusu Muhammad mnaupata kwenye Quran. Aliyekuwa anaghani Quran Muhammad lakini mijuha ninyi mnaaminishwa kwamba ukweli wote kuhusu mghani wa Quran uko ndani ya Quran.
Toka nje ya box msukule wewe

Ndugu yangu, Misukule ni ile iliyoaminishwa na Paulo kupitia uzushi wa Incarnation na nafsi tatu kuwa Binadamu Yesu kuwa ni Mungu na wakaamini hivyo.

Hakuwa Yesu ila ni mjumbe wa Mungu.

Hivi unajua Kaaba ni nini?

Ndugu isome tu Quran itakufungua macho.

Last edited by a moderator:
Allaah ni mungu wa washirikina wa Makkah, Muhammad alimkarabati na kumfanya ndiye true god wa Waislam. That Means Allaah is a man made god and not a true God.
Tatizo misukule ninyi hamuwezi kutafakari na kutafuta ukweli nje ya Quran na Muhammad. Mkiambiwa ukweli huu mnaleta aya ya Quran kuupinga. Quran imeandikwa baada ya Muhammad lakini allaah alikuwepo ndani ya kaabah kabla Muhammad hajazaliwa.
Hamuwezi kujifunza kupitia historia kwa kuwa mmefungwa na kukatazwa kuujua ukweli, matokeo yake mmekuwa mazuzu mkitetea msichokijua.
Uhalali wa Quran mnaupata kwa Muhammad na ukweli kuhusu Muhammad mnaupata kwenye Quran. Aliyekuwa anaghani Quran Muhammad lakini mijuha ninyi mnaaminishwa kwamba ukweli wote kuhusu mghani wa Quran uko ndani ya Quran.
Toka nje ya box msukule wewe
 
Last edited by a moderator:
Mungu wako ni Mpinga Kristo ..........!!!!!
Hebu tusome kwanza Biblia:
1 Yohana 2:22-26; Je, mwongo ni nani? Mwongo ni yule anayekana kwamba Yesu si Kristo. Mtu huyo ndiye mpinga-Kristo, anayemkana Baba na Mwana. 23 Mtu anayemkana Mwana hawezi kumjua Baba; mtu anayemkiri Mwana anamjua na Baba pia. 24 Hakikisheni kwamba ujumbe mliosikia tangu mwanzo unadumu mioyoni mwenu. Ujumbe huo ukikaa mioyoni mwenu, ninyi pia mtadumu ndani ya Mwana na ndani ya Baba. 25 Na yeye ametuahidi uzima wa milele. 26 Ninawaandikia mambo haya kuhusu wale wanaojaribu kuwapo tosha.

Biblia inatufundisha kuwa, mwongo ni mtu yeyote yule anaye pinga kuwa Yesu si Kristo, zaidi ya hapo, Biblia inaendelea kutufundisha kuwa mtu anaye mkana Yesu hawezi kumjua Baba yake. Kumbe ndio maana Waislam wanasema kuwa Mungu hawezi kuwa Baba na wala hana Mwana! ALLAH anampinga KRISTO:

Allah wa Koran anamkata/pinga Yesu kama Mwana na anakana kuwa Jehovah si Baba wa Yesu. Soma Quran hapa chini.

Quran 19:35. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.

Katika Surah Maryam hapo juu, Allah anasema kuwa Mwenyezi Mungu hana Mwana, jambo ambalo ni kinyume na aya tuliyo isoma kutoka Biblia kuwa, Muongo ni mtu na au kiumbe chechote kile kinacho pinga kuwa Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu na anaye mkana Baba yake (1Yohana 2: 22-26). Allah amesha mkana Baba, hivyo basi Allah teyari amenyakuwa sifa ya uongo.

Hakika Allah ni Mpinga Kristo
 
Allah amemuumba Yesu Kristo, hawezi kuwa mpinga kristo. Ninyi mnayemwabudu Kristo ndio wapinga mafundisho ya kristo na ndio wapinga kristo.
[h=2]And this is life eternal, that they might know thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.[/h]
 
Allah amemuumba Yesu Kristo, hawezi kuwa mpinga kristo. Ninyi mnayemwabudu Kristo ndio wapinga mafundisho ya kristo na ndio wapinga kristo.
[h=2]And this is life eternal, that they might kw thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.[/h]

...and there is no God but Allaah.
Kama Bwana Yesu alisema maneno uliyonukuu. Ilikuwaje Mtume asiyetahiriwa akaanza kumkarabati mungu wa Washirikina wa Makkah (Allah ) na kumfanya ndiye "the only true god" tena pasipo Yesu Kristo ?
Ninyi watu vichwani mwenu mna nini ? Hata mshindwe kuona maandishi makubwa namna hii yaliyomo Mbele yenu ?
 
"Mungu" wako amezaliwa au unapinga ukweli huu?

Kinachozaliwa kinaweza vipi kuwa "Mungu"?

Jaribu kujibu maswali hayo?

Isaiah 45:5 Bible: there is no God but Me vs there is no God but Allaah.

  • And this is life eternal, that they might kw thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.

Unamjua ni nani huyo the only true God? What is his name?
Isaiah 45:5 Bible: there is no God but Me

Huyu Me ni nani? What is his name?

Unamjua Mungu wa Bikira Maria? What is his name?

Unamjua Mungu wa Adam? What is his name?
Unamjua Mungu wa Abraham? What is his name?

Unamjua Mungu wa Muhammad? What is his name?
Unamjua Mungu wako? What is his name?
 
"Mungu" wako amezaliwa au unapinga ukweli huu?

Kinachozaliwa kinaweza vipi kuwa "Mungu"?

Jaribu kujibu maswali hayo?

Isaiah 45:5 Bible: there is no God but Me vs there is no God but Allaah.

Alikua Mungu katika mwili wa mwanadamu na ndio maana akaitwa Emanuel Mungu pamoja nasi. I that case alishushwa ili kuja kukomboa waliopotea
 
Allah amemuumba Yesu Kristo, hawezi kuwa mpinga kristo. Ninyi mnayemwabudu Kristo ndio wapinga mafundisho ya kristo na ndio wapinga kristo.
And this is life eternal, that they might know thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.
Si ulete aya tuione Allah anamuumba Yesu. Ukiilete, LEO HII MIMI NITASILIMU NA KUWA Muislam.

Haya, usikimbia kama kawaida yako.
 
Allah amemuumba Yesu Kristo, hawezi kuwa mpinga kristo. Ninyi mnayemwabudu Kristo ndio wapinga mafundisho ya kristo na ndio wapinga kristo.
And this is life eternal, that they might know thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.
SASA NGOJA NIKUTANDIKE NA BAKORA ULIYO IANZISHA,

John 17:3-6

3And this is eternal life, that they may know You, the only true God, and Jesus Christ whom You have sent. 4 I have glorified You on the earth. I have finished the work which You have given Me to do.5 And now, O Father, glorify Me together with Yourself, with the glory which I had with You before the world was.

MASWALI YALIO ENDA SHULE.
1. Sasa, kivipi Yesu adai kuwa aliishi na Baba yake kabla ya Dunia kuumbwa?. Soma aya ya 5.
2. Kwanini Yesu ataka BABA yake AMTUKUZE, kwani Yesu yeye ni Mungu? Soma aya 4 na 5.

USIKIMBIE KIJANA WA ALLAH.

MSIBA HUU HUWEZI KUUKIMBIA KIJANA.
 
Alikua Mungu katika mwili wa mwanadamu na ndio maana akaitwa Emanuel Mungu pamoja nasi. I that case alishushwa ili kuja kukomboa waliopotea
Alishushwa na nani?

Usukule na uzuzu ni msiba. Kwa nini usiseme alijishusha?
Ni kwa sababu unajua kuwa Yesu aliumbwa? Na Muumbaji ni nani?

Unaona jinsi ya 100% yako na 100% ya Paulo inavyoyayuka hapo?
 
SASA NGOJA NIKUTANDIKE NA BAKORA ULIYO IANZISHA,

John 17:3-6

3And this is eternal life, that they may know You, the only true God, and Jesus Christ whom You have sent. 4 I have glorified You on the earth. I have finished the work which You have given Me to do.5 And now, O Father, glorify Me together with Yourself, with the glory which I had with You before the world was.

MASWALI YALIO ENDA SHULE.
1. Sasa, kivipi Yesu adai kuwa aliishi na Baba yake kabla ya Dunia kuumbwa?. Soma aya ya 5.
2. Kwanini Yesu ataka BABA yake AMTUKUZE, kwani Yesu yeye ni Mungu? Soma aya 4 na 5.

USIKIMBIE KIJANA WA ALLAH.

MSIBA HUU HUWEZI KUUKIMBIA KIJANA.

Hadithi hadithi, Hapo kale alikuwepo Mungu na mwanae. Baba na mwana walikuwepo wote siku moja.
Wewe mkata majani kwa bulldozer, ulishawahi kujiuliza kuwa hawa ni watoto pacha/ ndugu pacha au ni baba na mwanae?

  • 1. Sasa, kivipi Yesu adai kuwa aliishi na Baba yake kabla ya Dunia kuumbwa?

Yesu aliishi na baba yake tu au na mama yake pia?

Usukule na uzuzu ni msiba.
Haya futa na hii.
 
Unaona tatizo la kuwa Msukule wa Quran? Wewe ulifikiria Allah ndie aliye teremsha Injir, kumbe la, umetupiwa changa la mto machoni Mwako.

Ulizoea kusoma kia aya kimoja na kushindwa kusoma habari kamili. SASA LEO HUKIMBII HAPA.

MASWALI YANGU BADO YAKO PALE PALE:

  • John 17:3-6

    3And this is eternal life, that they may know You, the only true God, and Jesus Christ whom You have sent. 4 I have glorified You on the earth. I have finished the work which You have given Me to do.5 And now, O Father, glorify Me together with Yourself, with the glory which I had with You before the world was.

    MASWALI YALIO ENDA SHULE.
    1. Sasa, kivipi Yesu adai kuwa aliishi na Baba yake kabla ya Dunia kuumbwa?. Soma aya ya 5.
    2. Kwanini Yesu ataka BABA yake AMTUKUZE, kwani Yesu yeye ni Mungu? Soma aya 4 na 5.

    USIKIMBIE KIJANA WA ALLAH.

    MSIBA HUU HUWEZI KUUKIMBIA KIJANA.

Kwahiyo Yesu hakuzaliwa bali aliumbwa kama ADAM. Huu si NDIO MSIBA KWAKO. SASA Maryam ni nani kwa Yesu?

ZAIDI YA HAPO:

Ibn Abi 'Aasim narrated in al-Sunnah (517) that Ibn 'Umar said: The Messenger of Allaah said: "Do not say 'May Allaah deform your face' [a form of cursing in Arabic], for the son of Adam was created IN THE IMAGE OF THE MOST MERCIFUL." Shaykh 'Abd-Allaah ibn al-Ghunaymaan said: "This hadeeth is saheeh and was classed as such by the imams and by Imam Ahmad and Ishaaq ibn Raahawayh. Those who classed it as da'eef have no evidence, except for the view of Ibn Khuzaymah, but those who classed it as saheeh are more knowledgeable than him.

In whose image was Adam created?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom