Kwahiyo, Gabriel ni MSAIDIZI WA ALLAH? Huu MSIBA utaisha lini wajameni?
Of course Mungu alizungumza direct na Moses LAKINI HAKUWAI ONGEA NA MUHAMMAD HATA MARA MOJA.
Of course Mungu alizungumza direct na Mitume wote wa Biblia. Msiba ni KWA MUHAMMAD ALIYE JIPA UTUME NA KUTO ONGEA NA MUNGU HATA MARA MOJA.
Of course Gabriel alitumwa na Yesu na sio kwamba Yesu hakuweza kuzungumza naye DIRECT, LAKINI ALLAH YEYE HANA MSAIDIZI. JE, Jibril sasa ni Allah? Kumbuka Allah hana MSAIDIZI.
Of course, Gabriel alipeleka Ujumbe kuhusu kuja kwa al Masih, Mfalme wa Wafalme, Yesu Al Malik.
SASA: Jibril ni nani kwa Allah kama sio MSAIDIZI?
KWANINI ALLAH ASEME hana Msaidizi huku kila kukicha anamtuma JIBRIL?
Oooops, Kumbe Jibril ni Allah.