Wewe unanijibu kwa kutumia kitabu cha Acts. Ni vema sana, lakini wewe huyo huyo unamtakaa PAULO ambaye ndie mwandishi mkuu wa hicho kitabu.
1. Je, sasa umeamua kukubaliana na maneno ya Paulo kuwa ni thabit?
2. Je, sasa unakubali kuwa Paulo ni Mtume wa Mungu?
3. Kama majibu yako ni hapa, Kwanini unamtumia Paulo kama moja Uthibitisho wako?
4. Kama majibu yako ni hapa, Kwanini unamnukuu Paulo huku ukifahamu kuwa wewe unampinga?
Nategemea utatumia hekima kunijibu na sio kama wale wengine kama FaizaFoxy dada wa mipasho.
Wewe unapotumia Quran ni kwa sababu unaikubali Quran? Unakuwa unakubaliana na maneno ya Quran?
Natumia Paulo kwa sababu wewe ndie unayemwamini. Vizuri umeona kuwa Paulo anawababaisha.
Huku anakwambia Yesu ni mtoto wa Mungu, kule anakwambia ni mtumishi wa Mungu, ukienda mbele anakwambia Yesu ni mungu, ukigeuka kusho anakwambua Yesu alikuwa na mungu.
Paulo anapiga stori za Yesu tu na kumsahau Mungu aliyemuumba Yesu.
Hapa Paulo anasimulia nini? Eli, Eli, lama sabachthani? that is to say, My God, my God, why hast thou forsaken me?