The Atheists Paradox

The Atheists Paradox

Mkuu Nonda Huyo ajiitae Nkwesa Makambo ukisoma post zake zote hana akijuacho zaidi ya MATUSI na KASHFA.
Na Hii ni defence mechanism wanayotumia wote wasio na elimu ili basi tu na wao wajibu.

Kutwa kucha ni kutukana tu. Sasa sijui anapata faida gani hapam manake sioni hata wa kumpa "like" hata hao maadui wa UISLAMU pia Wanamdharau kwa Kurudia kashfa na Matusi yale yale.

Hii ndio hasara mkuu.
Sasa fikiria wazee wake wanajiskia vipi kuwa na mtoto sampuli hii.

Onesha Matusi husika, Misukule sio matusi, ni sifa kwa binadamu wanaokaririshwa mambo ambayo wakitafakari ni kinyume kabisa na uwezo wa binadam aliyepewa uwezo wa kutambua mema na mabaya.
Nimekwambie kwamba kabla ya Muhammad kuzaliwa, Allaah alikuwa ni mungu wa Makuraish wa Makkah, alikuwa akiishi ndani ya Kaabah (Nyumba yenu ya ibada iliyoko makkah)akiwa ndani ya Kaabah alikuwa na wasaidizi zaidi ya 360, na mabinti watatu.
Muhammad alimkarabati na kuondoa mabinti na wasaidizi ili abaki kuwa Mungu mmoja sawa na aliyuekuwa anaabudiwa na Wakristo na Wayahudi.
Sasa ninyi mmeaminishwa kuwa huyo ndiye Mungu wa Kweli na ndiyr Muumba wa Mbingu na nchi na vyote vilivyomo, watu kama ninyi ambao hamtaki kukubaliana na historia ya mungu wenu kuwa sio Mungu wa Ibrahim , Isaka na Yakobo na sio Mungu wa Bwana Yesu Kristo, muitweje kama sio Misukule ?
Au kama unayo version nyingine ya Allaah ilete ili nijifunze elimu mpya,Isitoshe mmecopy ibada nyingi za wafuasi wa Allaah kabla ya Muhammad hata kaabah mliwapora na kuendelea kuitumia kwa ibada kwa mungu yule yule.

Misukule Misukule Misukule

Haya ! Binadam aliyeshiriki Ubakaji, Uporaji na Uuaji mnamwitikadi kama mbora wa mitume, Mna akili kweli ninyi ?
 
It is about non theists paradox.

womb_atheist.jpg

you have not answered my questions
Can you provide the evidences of the existence of God
 
you have not answered my questions
Can you provide the evidences of the existence of God

Is absence of evidence and evidence of absence ? A failure to provide evidence for presence of God turns to be your evidence of no god ?
Don't you have my to think about creations and life ?
God is the creator of all that was you and that you can see, he is the one who fine tubed the world to sustain your life in it. He is writer of your DNA codes
Think for your own
 
How do you know that?
 
Which knowledge ?

the knowledge of these claims of yours
"God is the creator of all that was you and that you can see, he is the one who fine tubed the world to sustain your life in it. He is writer of your DNA codes"
 
Islam's paradox. Is Allah a father of Jesus?

Not in the sense you imply. Figuratively, Jesus has put it best in this context: 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" kama una uwezo wa kuitumia akili alokupa Allah utafahamu nini kinakusudiwa hapo.
Je wewe baba yako ni Mungu au Mungu ni baba yako?

Unaweza kuondoa hiyo implication yako ya mwana na baba kwa kuisoma hii

In the name of Allah, the Beneficent, the Merciful.
Say, "He is Allah , [who is] One,
Allah , the Eternal Refuge.
He neither begets nor is born,
Nor is there to Him any equivalent."

link Surat Al-'Ikhlas - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Nimekujibu swali lako sasa naomba ujibu haya maswali.

Je Yesu ameumbwa?
Nani amemuumba Yesu?
Je Yesu ana Mungu wake?
Yesu anamwabudu Mungu yupi?

Na kwa faida yako, jisomee hapa. link Son of GOD in the Bible disproves trinity.

link 2. Bible Says: Jesus NOT Son of God?

link 3. Sons of God

Allah ni muumbaji aliyemuumba Jesus.
Jesus ni kiumbe cha Mungu.
 
Not in the sense you imply. Figuratively, Jesus has put it best in this context: 'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" kama una uwezo wa kuitumia akili alokupa Allah utafahamu nini kinakusudiwa hapo.
Je wewe baba yako ni Mungu au Mungu ni baba yako?

.
Swali la msingi hapo ni hili: WAPI ALLAH KAJIITA AU ITWA "BABA"?
 
Swali la msingi hapo ni hili: WAPI ALLAH KAJIITA AU ITWA "BABA"?
Jibu la msingi ni kuwa Yesu ana Mungu na Mungu huyo ndio Mungu wa kila kiumbe.

Je Yesu ni kiumbe cha Mungu? Hili ndio lingekuwa swali la msingi.

Najua utaleta longo longo tu kama kawaida yako.

'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'
 
Ha ha ha ha ha, why are you shrinking the word "MY FATHER". Unaona tatizo la kuzoe kuficha ficha mivitu. Iache aya ikufunze kijana.

Wewe kama unakubaliana na hiyo aya, basi nionyeshe wapi katika Quran panaesma kuwa ALLAH NI BABA, ili na mimi nisilimu niwe kama wewe? '

Haya fanya hima NAKATA KUSILIMU.
 
Kwa ni nini wewe hutaki kuikuza na kuiweka wazi my God?

Unaficha nini? Hutaki wanakondoo wajue kuwa Yesu ana Mungu aliyemwabudu?
Ukweli ambao utawafanya kondoo kutambua kuwa Yesu si Mungu.

Kwa nini hutaki kondoo waliopotea kujua njia sahihi? Utakosa kukusanya sadaka?

Pata faida hapa

Link SON OF GOD - JewishEncyclopedia.com
 
Jifunze kuhusu TWO NATURES OF JESUS.

Sasa turudi kwenye swali: WAPI ALLAH KASEMA YEYE NI BABA? Nataka KUSILIMU? Continue Reading
 
Ha ha ha ha ha, why are you shrinking the word "MY FATHER". Unaona tatizo la kuzoe kuficha ficha mivitu. Iache aya ikufunze kijana.

Wewe kama unakubaliana na hiyo aya, basi nionyeshe wapi katika Quran panaesma kuwa ALLAH NI BABA, ili na mimi nisilimu niwe kama wewe? '

Haya fanya hima NAKATA KUSILIMU.

Wewe umeuvaa ukafiri na unajitisha kuuvua hata ukweli unapowekwa wazi mbele yako. Unaogopa kuutizama ukweli na kwa jinsi unavyopenda kukufuru unafumba macho yako ili usiuone ukweli.

Link Jesus: A Servant of God

pia

Haya rudi na longo longo zingine.
 
Last edited by a moderator:
Wewe umeuvaa ukafiri na unajitisha kuuvua hata ukweli unapowekwa wazi mbele yako. Unaogopa kuutizama ukweli na kwa jinsi unavyopenda kukufuru unafumba macho yako ili usiuone ukweli.

Link Jesus: A Servant of God

pia

Haya rudi na longo longo zingine.
PATA ELIMU YA BURE HAPA

Je, Yesu anawezaje kuwa Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja?
**********************************************************************************
Ni nini maana ya muungano wa kimwili na Uungu?

Hili ni swali linalo ulizwa mara nyingi sana, ni kivipi Mungu awe binadamu na au Kivipi Mungu awe na nafsi mbili, "TWO
...See More
 
Danganya nafsi yako na wapoteze zaidi hizo kondoo za bwana.

Hizi hadithi mnajitungia na kuzirudia rudia na kujiaminisha kuwa ni ukweli?

Hadithi hadithi.
Hadithi njoo, uongo kolea.

Na Adam ambaye hana baba wala mama ana natures ngapi?

Ikiwa Jesus ambaye hana baba lakini ana mama "ana nature mbili"?
 
Teyari unaanza taratiib kusaliti amri. Hivi kama Allah wako ni akbar, kwanini anashindwa kuwa na Mwana bila ya Mke?

Hili swali rahisi sana nategemea huta likimbia kama ilivyo utamaduni wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom