mkuu nimekupata kabisa, yaani huwa napost picha nzuri nzuri za Dar lakini wabongo wenzetu watakejeli na kuanza kupost picha zingine za maeneo ambayo ndio yanasemwa na kuonyeshwa kila siku na mataifa ya magharibi, hizi picha tunazopost humu, mtu yeyote anaweza kuziona, tunaweza kuchefua watalii bure sisi mwenyewe halafu tunalalamika watu flani wnajidai au wana show off, mkuu show off siku nyingine inalipa, pita pita forums za wakenya kama utaona picha za ajabu ajabu kama sisi tunavyogombana kupost hapa, haimaanishi kuwa hawana slums na makazi yasio na mpango, hakuna , ni kujitengenezea image, huwa najaribu kuwaambia watu, slums za africa na makazi yasio na mpango hata usihangaike kujitangaza kwenye internet kwamba mnayo au hakuna, kila mtu hasa mataifa ya magharibu wanajua, kilichopo ni wewe kupost tuu eneo zuri la kwenu ili wajue oh kumbe na kwao kupo hivi, lakini mbogo huwa hawazoi hayo, juzi juzi juzi baada ya kupost picha nzuri za dra kuna msela akaniona napotosha jamii kwmab bongo ni magorofa tuuu, basi yeye alipost mpaka ubalozi wa marekani uliopigwa bomu, kama haitoshi vile akapost mpaka maporomoko ya victoria ya huko zambia na zimbabwe, duh, kazi ipo, **** hujipendi nani atakupenda?