The Africa They Never Show You

Maeneo kama haya si ya "wanene" tu, akina "kesho itakuwaje" wanasongamana mitaa ya mabanda kule
 
Westernised African cities... why should the west be interested in?!

They'll talk about Japan, they're modern and have got Japanese architecture. Same thing applies to China. The day we invent our own things and modernise them, surely they'll talk.

Hiii ndiyo mentality kubwa tuliyonayo Waafrika. Ni mentality nzuri kama inatumiwa ipasavyo, kwani inahimiza ushindani, ubunifu na maendeleo. Lakini kwa vile siye tumezungukwa na dhiki za kupindukia, tunafikiri Wazungu wakija kwetu na kuona tuna madaraja, majumba na mavitu kemkem ambayo michoro yake imetoka kwao, na pahala pengi funding imetoka kwao (indirect kutoka kwetu), tunafikiri kuwa wakiona mambo kama hayo watababaika na kuyafanya yawe headlines huko makwao. Tunajidanganya. Hatujiulizi kwanini kila leo hii wanaonesha mbuga za wanyama wetu? Kwanini wako so interested...kwanini... wanapenda kuona nini hawa watu?!!

Wazungu wanababaika wakiona watu kama India wakiiga technology za kurusha satellite, hata kama wameiga. Wanababaika wakiona watu wana handle maliasiri zao na kuzitumia ipasavyo kama nchi za Uarabuni zilivyo. Wanababaikia watu kama northern Korea wakirusha makombora ya masafa ya mbali hata kama ni technolojia za kuigwa. Wanababaikia nchi zinavyo mudu utalii kama nchi za Singapore, Indonesia na nyinginezo kwenye tiger economies.

Wangebabaika sana kama michoro ya nyumba zetu za matope ingelikuwa inapatikana online, tungekuwa na kumbukumbu ya michoro ya nyumba zetu kwa karne kadhaa zilizopita, tungelikuwa tumezi-modernise nyumba zetu za asili na ku-retain architectural distinction. Dhahiri wangelituongelea na kuonesha kila pahali Africa kama tungelihakikisha kuwa mahitaji muhimu yanapatikana kwa kila raia wa nchi zetu.

Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi.
 
Duuh huyu jamaa aliefanya hii video ni mkenya nini manake video nzima naona imefanya focus kwa Nairobi tu...! Dar es Salaama imewekwa by the way tu...! its nice but very biased video...!
 
Tatizo la Waafrika ni kuwa tunategemea watu watusemee na watusifie zile jitihada zetu na maendeleo yetu badala ya sisi kusema wenyewe. Wenzetu wanaonyesha maendeleo yao nje na kujitengenezea image yao, yale yote yasiyo mazuri huwezi kabisa kuyaona kwenye vyombo vyao vya habari nje labda uwe umebahatika kuishi ndani ya nchi zao na ukaona kwa macho yao.
Ukweli ni kuwa hatuhitaji approval ya watu wengine ili kujisikia kuwa tumeendelea. tunachohitaji ni kusoma kwa wenzetu yale yatakayotupeleka mbele na kuretain yale yetu yenye faida na sisi wether or not wanatusifia. Na sisi tuanze kujijengea iimage na kuwa proud na yale ambayo yametujenga.
 
Duuh huyu jamaa aliefanya hii video ni mkenya nini manake video nzima naona imefanya focus kwa Nairobi tu...! Dar es Salaama imewekwa by the way tu...! its nice but very biased video...!


Kweli atakuwa Mkenya, sehemu zingine amerudia mara mbili, lakini tanzania mara moja, halafu sehemu alizoonyesha ina maana ndo nzuri tu kwa Tanzania.
 
Duuh huyu jamaa aliefanya hii video ni mkenya nini manake video nzima naona imefanya focus kwa Nairobi tu...! Dar es Salaama imewekwa by the way tu...! its nice but very biased video...!

Ni kweli yaani jamaa ka-base Kenya kwa sana.
 
mawazo yako sawa,lakini ujue kwamba sio wote watu wako masaki,oyster bay etc.majority ya watu wetu tanzania wako vijijini,wanalalia ngozi,hawana access ya doctor ,hawana vyoo vya kudumu etc.
You are wrong about that,perhaps baba yako anakaa masaki kwenye ghorofa hata rais wa marekani hawezi kuwa nalo
 
Umasakai na oysterbay unaingia vipi hapa, kaazi kweli kweli JF
 
Kweli atakuwa Mkenya, sehemu zingine amerudia mara mbili, lakini tanzania mara moja, halafu sehemu alizoonyesha ina maana ndo nzuri tu kwa Tanzania.

Nafikiri njia rahisi ya kumkosoa ni mtanzania kutengeneza version nyingine ambayo haiko biased.
 
Back
Top Bottom