Tisidanganywe na hizi reports kwani hazioneshi hali halisi ya maendeleo ya watu; haingii akilini leo hii mtu kusema Tanzania ya leo imeendelea kuliko huko tulikotoka ili hali ya maisha ya watu imezidi kuwa mbaya!! Watu wengi zaidi wanakufa wakiwa wadogo kwa sababu ya maradhi yakiwemo utapiamlo ambao unasababishwa na umaskini wa kipato wa wananchi; watu wengi hawana uwezo wa kuyapata maji safi na salama sio vijijni tu bali hata mijini!!
Noooooo, it was the greed of the leaders of Africa that has crippled her. It is not the West or the 'white man's' fault. They have very rich resources. Do they exploit their oil/diamonds? Nope. They sell their land to 'others' for the quick money. And then, they hold the money for their lineage, leaving the people to suffer (murder, rape, torture). The Africans are not off of the hook in my book. And guess who's starting to invest in Africa? China. If Obama doesn't get on the stick soon, we're straight Civil War
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
teh! kwa miaka 50. tumpe mwingine uone kama hatutanunua petrol kwa lita sh. 500. Na dolla itabalishwa kwa sh. 600 tuHalafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.
Halafu kuna wapuuzi hapa Jukwaani hawaoni jitihada zinazofanywa na serikali ya CCM.