The 026 sasa ni rasmi

The 026 sasa ni rasmi

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
609
Reaction score
1,574
Wakuu habarini za Sabato?
Nazungumza direct nikiwa Kalenga na Lugalo nikilitizama Bandari ya Salama na Matukio makubwa yanayoenda kutokea siku si nyingi tangu sasa.

Naona Wakuu waliogeuka ndugu zao wakihangaika kujaribu kuzima nyufa lakini wamekwisha chelewa. Yule Mkuu wa wote yeye atajinusuru kwa kutumia makosa ya yule king'ang'anizi asiyetaka kubaki nyumbani.

Majibu ni yale yale tubaki kwenye mstari wetu. Tubaki kwenye mstari wetu, tubaki kwenye mstari wetu, tubaki kwenye mstari wetu...

Tubaki kwenye mstari wetu, nadhani kuna kibubu juzi wajumbe wamepigwa za kichwa hadi kuna karatasi za nyuso za malaika wa yule mvaa suti zikisambaa kama moto wa nyasi za savana mwezi Septemba-Disemba.

Tubaki kwenye mstari, tubaki kwenye mstari wetu. Nipo Kalenga na Lugalo Iringa.
 
Natabiri kupatikana uhuru kamili wa Tanganyika mwaka huu tarehe 9 December.
 
Tuvunje code?
1. Hangaya ni mkuu wa wote
2. Msoga asiyetaka kubaki home kucheza na wajukuu
3. Mombo mkuu wa wavas suti nyeusi wanae wanatuonesha vidole vya kati.
Hapo pepesi. Vunja hapa

"hadi kuna karatasi za nyuso za malaika wa yule mvaa suti zikisambaa kama moto wa nyasi za savana mwezi Septemba-Disemba"
 
Hapo pepesi. Vunja hapa

"hadi kuna karatasi za nyuso za malaika wa yule mvaa suti zikisambaa kama moto wa nyasi za savana mwezi Septemba-Disemba"
Pesa alizonazo abdul atazitumia au anazitumia kufanya propaganda, kununua uaminifu, wapinzani n.k

Achana na kile kibubu cha kijani kilichosababisha kadhia kadhaa kwa watanzania wa kule CRDB.
 
Pesa alizonazo abdul atazitumia au anazitumia kufanya propaganda, kununua uaminifu, wapinzani n.k

Achana na kile kibubu cha kijani kilichosababisha kadhia kadhaa kwa watanzania wa kule CRDB.
Kwa mambo ya hovyo yanavyokwenda sasa hakuna kiwango cha pesa kitatosha kuwanunua watu maana wamejikusanya na wajinga wengi,werevu na wenye hekima wamewatenga.

Hapo hakuna la maana watafanya cha zaidi ni kujitafutia stress na kuishi kwa mashaka kama wauza unga huko Mexico wananyoogopana kuuwana.
 
Back
Top Bottom