Wakuu habarini za Sabato?
Nazungumza direct nikiwa Kalenga na Lugalo nikilitizama Bandari ya Salama na Matukio makubwa yanayoenda kutokea siku si nyingi tangu sasa.
Naona Wakuu waliogeuka ndugu zao wakihangaika kujaribu kuzima nyufa lakini wamekwisha chelewa. Yule Mkuu wa wote yeye atajinusuru kwa kutumia makosa ya yule king'ang'anizi asiyetaka kubaki nyumbani.
Majibu ni yale yale tubaki kwenye mstari wetu. Tubaki kwenye mstari wetu, tubaki kwenye mstari wetu, tubaki kwenye mstari wetu...
Tubaki kwenye mstari wetu, nadhani kuna kibubu juzi wajumbe wamepigwa za kichwa hadi kuna karatasi za nyuso za malaika wa yule mvaa suti zikisambaa kama moto wa nyasi za savana mwezi Septemba-Disemba.
Tubaki kwenye mstari, tubaki kwenye mstari wetu. Nipo Kalenga na Lugalo Iringa.