life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Ya ya yaaaSalaam ,Aa aa..aa. Wewe (hadharatak) Aisee Hatari ivo unamiliki Nuclear Bomu !! wewe angalia utatafutwa kaudi na vumba yake... SiAjabu leo maFBI na maintelejensia watafika mtaani kwenu!! Aiseee hapo nakuogopea BAN na JF.... !! (hiyo furaha yangu)Karibu sana, Maneno ya mwenyezi mungu ni makubwa sana, ndio maana huwa sina muda wa kutaniana na imani za watu. Mimi namuamini mwenyezi MUNGU, Naamini vitabu vyake, Malaika Wake nk.
Kwahiyo hata lolote litakalotokea katika maisha yangu naamini, ni mwenyezi mungu tu, hebu tusogee hapo Al Imraan
YAA MALIKAL MULKI, TUUTIL MULKA MANTASHAAU, WATAANZIUL MULKA MIMAN TASHAAU, WATUIDHU MANATASHAAU, WATUDHILU MANTASHAAU, BIYADIKAL KHAIRU, INNAKA AALA QULI SHAIN QAADIRU
Hapo vipi?
Mkuu Ayat hiyo umemaliza kazi yaani ukigombea Urais 2015 utachukuwa kwa LandSlide!! na kura yangu nakupa!!!!!!
"Wa Man YataqiLaah Yajaal Lahu Makhrajaa Wa YarzuqHu Mina Haithu Laa tahtaseeb"
BarrakaAllahfikum.