That was so close!!

That was so close!!

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,447
Reaction score
8,419
attachment.php
A
 
Attachments

  • amazing-pictures-of-the-day-2-pclayer.jpg
    amazing-pictures-of-the-day-2-pclayer.jpg
    54.1 KB · Views: 3,165
Nina mashaka na hii picha, itakuwa imefanyiwa manuva
 
je hii ipojee? ni hapohapo tuu mkuu marubani wanauzoefu wakutosha....

Princess+Juliana+International+Airport.jpg

ona hii yakaribu !
Princess+Juliana+International+Airport.jpg

Nakataa, angalia huyo aliesimama juu ya kichuguu, wewe ule mtetemeko/mtikisiko wa ndege inapokuwa karibu kiasi hicho, wewe usimame juu ya kichuguu?!
 
Nakataa, angalia huyo aliesimama juu ya kichuguu, wewe ule mtetemeko/mtikisiko wa ndege inapokuwa karibu kiasi hicho, wewe usimame juu ya kichuguu?!
Mkuu hiyo huwaga fun!! ukweli na uhakika yaani moja wapo ya furaha kusikia mlioo na mtetemeko!!!
Gustaf-III-airport1.jpg
dd.jpg

ona Airport ingine ipo katikati ya jiji....
images

images
 
Asante sana, raha jipe mwenyewe, maisha yenyewe mafupi, nimekupata vizuri sana
hii quoting yako imenifurahisha zaidi!
ELIMU sina, PESA sina, MALI sina, Lakini namshukuru sana MUUMBA kwa kunipa afya iliyo bora na njema pia
kila la kheri...kwako.
<!-- google_ad_section_end -->
 
Kweli, kwanini ?
uhakika wa maneno yako nimeipenda..kwani Afya ni utajiri mkubwa,
Na zaidi ulipo mshukuru Muumba hapo umemaliza sifa zote duniani.... !! Kuna Ayat isemayo " La'in Shakartum La'Azidanakum " (mkinishukuru ntawazishieni).... ona truth vipi!
 
INNA HADAINAHU SABYIILA , IMMAA SHAKIIRA , WAIMMAA KAFUURA
Mna nini hapo tena?
 
INNA HADAINAHU SABYIILA , IMMAA SHAKIIRA , WAIMMAA KAFUURA
Mna nini hapo tena?
Jamenii eee njooni huku nimevumbua hazina !!!!
Sindo Ubinaadamu tena !! Mkuu sikujua kama wee ni Bahari kuu!! MaShallah...Mzito kweli tufae nasisi kidogo !
 
Jamenii eee njooni huku nimevumbua hazina !!!!
Sindo Ubinaadamu tena !! Mkuu sikujua kama wee ni Bahari kuu!! MaShallah...Mzito kweli tufae nasisi kidogo !

Karibu sana, Maneno ya mwenyezi mungu ni makubwa sana, ndio maana huwa sina muda wa kutaniana na imani za watu. Mimi namuamini mwenyezi MUNGU, Naamini vitabu vyake, Malaika Wake nk.

Kwahiyo hata lolote litakalotokea katika maisha yangu naamini, ni mwenyezi mungu tu, hebu tusogee hapo Al Imraan
YAA MALIKAL MULKI, TUUTIL MULKA MANTASHAAU, WATAANZIUL MULKA MIMAN TASHAAU, WATUIDHU MANATASHAAU, WATUDHILU MANTASHAAU, BIYADIKAL KHAIRU, INNAKA AALA QULI SHAIN QAADIRU

Hapo vipi?
 
Back
Top Bottom