life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Labeik Naam...,Amina ya rabbil aalamina mkuu sina rada ila basi kuna mambo Mungu aweza kukuongoza bila kujua nilijikuta naisoma hii post kwa kila mchangiaji nikakutana na hazina uliotuitia,
baraka hizi zikufikie na wewe pia kwa kufumbua hazina hii muhimu katika Umma huu.
YaaRabi, Mungu Mkubwa... Waonaee yaani juwa lawaka mchana kweupe! na majohari yanang'aa, Madhahabu na madini yana meremeta !! yaani Nuru yote hii Kweli usione ! upite tu? mmmh jamami Mungu atupe nini tena!! I really Like mhe. Harufu Hafidhaullah.
Muu BySange sasa hapo ndiyo kwenye kisima cha ilm.. hivyo tuchote maji sasa.....