HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Sawa SwahiibaAl-3aafu !! tusameheane .....
Nimefurahi sana, kukutana na wewe, kwa kweli kila jambo lina sababu, kukosa kutia mchango wangu wa kwanza katika huu uzi, tusingeweza kukumbushana mawili matatu.
Mungu akipenda Inshaallah Jumatatu, nitakuwemo humu.