Thanx God,naenda kwenye utu'zima!!!@©®¡

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Its my bday today,wanaJF nawakaribisha pilau homiz...Luv u all,God bless me,Jf n' all.
 
Wazazi wameruhusu ukaribishe watu wangapi? Hatukawii kuja elfu moja ukacharazwa.
 
birthday_rocks_3d_guitar_rainbow.gif
 
Unakaa mitaa gani nijipange kula hiyo Pilau Sizinga
Ndizi za pilau nitakuja nazo
 
Last edited by a moderator:
hongera mkuu sizinga!umri unasonga na unazidi kuimarika kifikra,sasa uanze kulipa kodi kwa serikali a joke.hapy birthday sizinga,karibu sana utu uzimani.nakuombea heri uendelee kukua ktk maadili mema,upendo na amani.kila jema ktk maisha yako na be blessed!hapy birthday...!!
 
Mkuu Sizinga hongera sana kila la kheri katika wako utu uzima...mkumbuke wako Mola ili azidi kukujalia nyingi siku hapa duniani.
 
Last edited by a moderator:
Wazazi wameruhusu ukaribishe watu wangapi? Hatukawii kuja elfu moja ukacharazwa.

Mbona umemshusha sana? Amekuambia anawakaribisha, labda ndo kakaribia umri wa kustaafu utajuaje?
wengine wanataka kuchukua mafao lol

Its my bday today,wanaJF nawakaribisha pilau homiz...Luv u all,God bless me,Jf n' all.

Happy Birthday Sizinga
 
Last edited by a moderator:
Mh member mna vituko,anyway asanteni wote,bd party ilifana sana,namshukuru Mungu ilisha xalama.
 
hongera kwa kuendelea kupunguza siku zako za kuishi...

Uwe na pilau jema, hakikisha lina nyama za kuyosha na viazi visikosekane, kachumbali ya kulia pilau usiweke pilipili nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom