TO2004
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 540
- 220
Wanajamvi napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wana JF kwani imeniwezesha kujua namna na kufanikiwa kufanya manunuzi kwa njia ya mtandao,baada ya kujifunza kwa takribani siku kadhaa niliamua kufanya manunuzi kwa njia hii. Mnamo tar 4/12/2013 nilinunua mzigo na kufanya payment kwa njia ya paypal then after 1 day nikaambiwa mzigo umeshatumwa kwa kutumia Economic inter kutokea korea kuja bongo na nikaambiwa utachukua maximum of 30-40 days na gharama ya kusafirisha ilikuwa 2 dolla,nilikuwa na wasiwasi kutokana na kwamba wengi waliniambia hii njia sio salama lakini jana tar 07/01/2014 nimeenda posta na kukuta msigo mmefika nashukuru sana wanajamvi tuendelee na moyo wa kushare ideals