Hahaha...inabidi tena hapa nianze kukupa darasa la Subsidiary companies zinavyofanya kazi!unaendeleza utoto tu hapa
ulichobisha wewe ni mandatory listing na mimi nimekuwekea mpaka ushahidi
sasa umebadili topic ya ubishani....
TBL kampuni mama ni sabmiller ambayo ni ya tatu duniani kwa ukubwa.....hujui hiyo naona..
pacemakers??MTM, you are not dreaming wala hakuna kitu nyuma ya pazia, Membe for CCM-2015!.
Something else to think about, jee, unaijua technic inayotumiwa na wanariadha wa Kenya kushinda marathon nyingi duniani?.
Jee unajua technic ya kushinda mnada wa wazi wenye washindani wengi?.
Uchaguzi wa 2015 ni mbio za marathon na pia nafasi ya mgombea wa CCM iuna ushindani mkubwa kama mnadani, ili mgombea wako ashinde kiulaini, lazima tuanze kumfagilia sasa na Membe ndio the best choice!.
Hahaha...inabidi tena hapa nianze kukupa darasa la Subsidiary companies zinavyofanya kazi!
Ngoja tu niondoke cuz nimeshakujua. Huwa unapenda kusimamia usichokijua. Hii ni mara ya pili najaribu kukuelimisha kwenye aspects za Finance. Ni mwanafunzi usiyeelewa!
Nakusubiri kwenye issue za uandisi na ukandarasi tena nikufundishe zaidi.
Hahah..Pasco hapa umenifurahisha sana. Kama ni kuangalia zam tu naona Membe hafai. Kwanza watanzania wanaomfahamu Membe ni wachache sana. Atleast 2005 JK alikuwa ana mvuto flani. Alitokea kupendwa tu bila sababu yoyote ya msingi! Sasa Membe nani anamtaka? Kila siku akiongea anaharibu tu. Hajawahi kuzungumza kitu akakosa kupingwa.MTM, choice yangu ni Membe, quality analysis ya nini?. Kwani Watanzania tunahitaji quality analysis ndipo tuchague rais?. Urais Tanzania ni kwa zamu na kuangalia sura. Kwani tulipomchagua JK kwa landslide ule mwaka 2005, tulimchagua kwa quality analysis gani?. Haya baada ya kumchagua na tukaona performance yake, si tumemchagua tena!. Watanzania wanachagua sura na sio sifa ndio maana nikasisitiza kigezo changu kwa Membe ni zamu tuu, tafadhali MTM usianze kutaka kuleta sifa na vigezo ili kumharibia Membe wetu, please!.
Kweli Watanzania tuko milioni 40 plus, CCM wako milioni 4. JK amechaguliwa kwa kura milioni 4, hivyo whoever ambaye ndie mgombea wa CCM, ndiye rais wa nchi hii, nawaombeni sana, msianze kumwekea Membe zengwe!.
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.
There you are!pacemakers??
There you are!
Rejao, tumpambe Membe ameremete, tumpake mafute ang'ae, tumtaje taje sana mpaka afahamike na awe na mvuto kama JK, na kwa vile ni Mkatoliki, kanisa Katoliki litoe waraka maalum kuwa ule utaratibu wa zamu za Wakristu na Waislamu CCM unamaanisha Wakatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki na sasa ni Membe, Mkatoliki.Hahah..Pasco hapa umenifurahisha sana. Kama ni kuangalia zam tu naona Membe hafai. Kwanza watanzania wanaomfahamu Membe ni wachache sana. Atleast 2005 JK alikuwa ana mvuto flani. Alitokea kupendwa tu bila sababu yoyote ya msingi! Sasa Membe nani anamtaka? Kila siku akiongea anaharibu tu. Hajawahi kuzungumza kitu akakosa kupingwa.
Dah...na wewe bado upo kwenye siasa za nyerere za kupokezana waislam na wakatoliki? Madhehebu mengine inamaana kuwa hayawezi kutoa viongozi.Rejao, tumpambe Membe ameremete, tumpake mafute ang'ae, tumtaje taje sana mpaka afahamike na awe na mvuto kama JK, na kwa vile ni Mkatoliki, kanisa Katoliki litoe waraka maalum kuwa ule utaratibu wa zamu za Wakristu na Waislamu CCM unamaanisha Wakatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki na sasa ni Membe, Mkatoliki.
Pia katika kumfagilia Membe, lazima kuundwa mtandao wa wanahabari kama ile timu ya JK ya 2005 ambao kazi yao itakuwa kuwamaliza every posible threats, Sitta ni CCJ, Magufuli ataweza kuwa Dictator, Pinda ni too humble hivyo too weak at the end of the day, anabaki Membe and only him!
thanks boss.... And the future is gloomy everywhere, kiuchumi kisiasa na kiutamaduniPasco unajua kwa afya ya Kikwete na 'michezo'
ya kupelekana India ilivyoshamiri.....sasa
hakuna anejua by 2015 'picha halisi'
itakuwaje.....what we have is we don't know the unknowns unknowns.....
thanks boss.... And the future is gloomy everywhere, kiuchumi kisiasa na kiutamaduni
i pray for private candidates achilia mbali uchaguzi wa dharura
Rejao, tumpambe Membe ameremete, tumpake mafute ang'ae, tumtaje taje sana mpaka afahamike na awe na mvuto kama JK, na kwa vile ni Mkatoliki, kanisa Katoliki litoe waraka maalum kuwa ule utaratibu wa zamu za Wakristu na Waislamu CCM unamaanisha Wakatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki na sasa ni Membe, Mkatoliki.
Pia katika kumfagilia Membe, lazima kuundwa mtandao wa wanahabari kama ile timu ya JK ya 2005 ambao kazi yao itakuwa kuwamaliza every posible threats, Sitta ni CCJ, Magufuli ataweza kuwa Dictator, Pinda ni too humble hivyo too weak at the end of the day, anabaki Membe and only him!
Rejao, tumpambe Membe ameremete, tumpake mafute ang'ae, tumtaje taje sana mpaka afahamike na awe na mvuto kama JK, na kwa vile ni Mkatoliki, kanisa Katoliki litoe waraka maalum kuwa ule utaratibu wa zamu za Wakristu na Waislamu CCM unamaanisha Wakatoliki, Nyerere alikuwa Mkatoliki, Mkapa alikuwa Mkatoliki na sasa ni Membe, Mkatoliki.
Pia katika kumfagilia Membe, lazima kuundwa mtandao wa wanahabari kama ile timu ya JK ya 2005 ambao kazi yao itakuwa kuwamaliza every posible threats, Sitta ni CCJ, Magufuli ataweza kuwa Dictator, Pinda ni too humble hivyo too weak at the end of the day, anabaki Membe and only him!
ArooooiAjabu sana Huu uzi umefikia Page ya 7 sijaona Like ya Mbopo lol! Nadhani atakuwa amekusoma Vyema Pasco! Yes Membe for President 2015 ha ha haa
mara mia rais awe dovutwa kuliko membe