Tatizo magamba hata wakimsimamisha Kenge atakuwa rahisi kwakuwa dola ndo hutumika kuibia kula!!wewe unadhani zile shahada zilizokutwa kule Tamesa zilikuwa za uganda??Jibu unaloMembe hawezi kuwa Raisi wa nchi hii
Hana jina kwa watanzania kama alivyokuwa kikwete
watanzania wengi wana tegemea CCM wataweka Magufuli, sitta, mwandosya, mwakyembe au Lowasa nje ya hapo ni kushindwa mbaya bora waweke chenge kuliko membe
Viongozi wenye uwezo wa kutupeleka mbele wapo.
Hatuhitaji kumflash huyu lowassa.
Unapozungumzia uongozi,mbona hutaji hulka yake ya wivi?
OTIS.
Wapi amechafuliwa na mimi... if you find any post in this thread i will apologize, but if not, i will ask once again, i dont do benders... just stay off my d!ck
na kwa kusisitiza tu... ni siasa chafu za kuanza kutafuta kurithi urais zinaharibu nchi hii.... mko bize mnahangaika wa kurithi wakati hata bei ya kilo ya unga hamjui
tuungane tusolve the pooerst of the poor... come 2012 vikianza vikao vya chama then you can take it inside the party, sio kulazimisha watu kwa kuwaletea images za kuzoeleka
You are just so narrow and you think everything in this world is propaganda and fanatism
we want results and accountability not suits and boarding passes
Ndio maana kama umesoma post yangu, mwanzoni kabisa nimesema tuache negative side yake.
Hapa wengi hata mimi ninampinga EL, but kwa utendaji huyu jamaa alikuwa makini. Alikuwa na mipango mingi sana ya kukuza uchumi.
Yes bro the guy has his quality... but i do think wapambe wamemvamia mapema sana, and as always you are what you eatNdio maana kama umesoma post yangu, mwanzoni kabisa nimesema tuache negative side yake.
Hapa wengi hata mimi ninampinga EL, but kwa utendaji huyu jamaa alikuwa makini. Alikuwa na mipango mingi sana ya kukuza uchumi.
Nakubaliana na wewe, but kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa aandaliwe mapema. Miaka mitano ni michache sana, 2015 its not far. Nchi za wenzetu maraisi huwa wanaandaliwa toka wakiwa wadogo.Pal
I have no issue na yoyote, naona wote sawa kwani wanahangaikia kugawana urithi na baba hajakata roho... si lowassa, membe, mwandosya, CDM nk...
Ningependa tu-focus kuondoa nchi kwenye shimo refu, tusaidiane kujitoa na tukifanikiwa kila kitu kitakua in place or at least tutajua leaders ni wapi na prakatatumba ni nani
Just tell me tangu tuwe kwenye turmoil ni kiongozi gani amesimama kuhesabiwa??? tunahangaika na kamati za bunge, wamekua ndio mawaziri, wamekua ndio wasemaji, wamekua ndio watendaji, wamekua ndio makatibu wa wizara... SAD!!!
I wouldnt mind chochote as long as tunapunguza shida zilizopo sasa
Imagine senior government officer wa take home ya 500,000 maana yake anapata chini ya dolla 250 kama mshahara!!!!!!!!!!!!! sukari, chumvi, ugali, wali vya mgao, umeme, mafuta, gesi, foleni kila kitu mgao and we are very busy talking up 2015 which is over 1000 days to come meaning over 30,000 hours of suffering fook
I need a gun!!
actually ile pesa imeenda shimoni and kwa sheria ndogo tu zinazosimamia public accounting ile ni issuesmipango ya uchumi?????pleaase..
Yeye ndie aliekuwa the 'brain' ya mabilioni ya Kikwete....
ni upuuzi gani ule aiseee.......
waulize wachumi wakwambie 'athari za kugawa pesa'
ovyo kwenye uchumi.....huu ambao still ni 'maandazi economy'...
Nakubaliana na wewe, but kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa aandaliwe mapema. Miaka mitano ni michache sana, 2015 its not far. Nchi za wenzetu maraisi huwa wanaandaliwa toka wakiwa wadogo.
Kikwete mwenyewe kaandaliwa for mor than 10 yrz.
Inflation ni kitu cha kawaida, inatokana na forces za demand na supply, sidhani kama kiongozi wa siasa anaweza kusaidia chochote. Tunaona China now wanavyohangaika na inflation pamoja na kuwa wapo vizuri kiuchumi.
kweli rejao kwenye maandaliziNakubaliana na wewe, but kiongozi mkuu wa nchi anatakiwa aandaliwe mapema. Miaka mitano ni michache sana, 2015 its not far. Nchi za wenzetu maraisi huwa wanaandaliwa toka wakiwa wadogo.
Kikwete mwenyewe kaandaliwa for mor than 10 yrz.
Inflation ni kitu cha kawaida, inatokana na forces za demand na supply, sidhani kama kiongozi wa siasa anaweza kusaidia chochote. Tunaona China now wanavyohangaika na inflation pamoja na kuwa wapo vizuri kiuchumi.
Well said mkuu!kwa matatizo tuliyonayo, i would prefer a MFA kwani mara nyingi hawajui shida za ndani
I would rather listen to mtu anayejua wizara ya tawala za mikoa, ujenzi, kilimo, mawasiliano, fedha au viwanda na biashara
Tunahangaika na foreign relatioship wakati chumvi ipo uvinza, sukari iko mtibwa uji upo nchi nzima wali upo mbrali
we need basics before we start flying out like nzi
The Boss,mipango ya uchumi?????pleaase..
Yeye ndie aliekuwa the 'brain' ya mabilioni ya Kikwete....
ni upuuzi gani ule aiseee.......
waulize wachumi wakwambie 'athari za kugawa pesa'
ovyo kwenye uchumi.....huu ambao still ni 'maandazi economy'...
Ndio Tanzania yetu hii MTM, inabidi tu tukubaliane na hali halisikweli rejao kwenye maandalizi
lakini sio kwa madomo na ubwabwajaji
haandaliwi na bloggers, anaandaliwa majukumu
and poor aacounting system..... dependency yetu kubwa inatokana na corrupt official wanaotushushia thamaniinflation???
ya China na sisi ni hadithi mbili tofauti...
inflation yetu ina changiwa na mambo mia kidogo
1.dollarization ya uchumi..
2.uchumi wa 'kuagiza bidhaa'
a consumer nation...
3.unregulated industry ,mfano oil industry....na zingine..
4. the list is endless
The Boss,
Sion kama kitendo cha kutoa zile hela kilikuwa na tatizo. Hazikuwa na madhara cuz ziliamount percentage ndogo sana kwenye circulation ya hela. Zingekuwa na asilimia kubwa kiuchumi zingesababisha madhara kama inflation ambayo ni decrease in purchasing power.Tatizo lilikuwa kwenye mipango mibovu, na namna ya kuzicontrol. Zilifaidisha wachache kinyume na malengo yake.
Dunia hii unategemea upate wapi interest free loan? Watanzania tungetumia vizuri zile hela zingetufikisha mbali. Viongozi wetu walikuwa na nia nzuri but sisi wewnyewe tulishindwa kuitumia fursa tuliyopewa.
and poor aacounting system..... dependency yetu kubwa inatokana na corrupt official wanaotushushia thamani
madini na samaki tu vingeweza kupunguza inflation
viongozi walikuwa hawana 'brain' ya kuondoa umasikini,period...
tazama data hizi.....
1. mabilioni ya kikwete yalikuwa around 20 bilioni mpaka 200 bilioni hivi,nimesahau excact number..
2.IPO ya NMB peke yake zilirudishwa zaidi ya bilioni 100,baada ya kuwa oversubscribed....
sasa kama una wananchi tayari wana bilioni nyiingi za 'kuivenst' mpaka wanarudishiwa..
busara ni nini????? kuongeza pesa kwenye circulation??au kutafuta namna ya kuelekeza
pesa za wananchi kwenye 'investment zingine' ili nchi ifaidike?????
hivi unajua UTT peke yake wamekusanya zaidi ya bilioni 500 kutoka kwa watanzania?????
hii nchi shida sio pesa kwa wananchi...hii nchi shida ni viwanda na biashara ambazo ni 'new economy'
na hilo ndo hatuna kiongozi mwenye 'maono' nalo so far...
Pasco siamini kabisa kama ni post yako, yaani unamfagilia Membe awe rais wa nchi basi tena.
Mkuu MTM binafsi naunga mkono kwa asilimia 100% kuwa 2015 ni zamu ya Membe.
Sababu yangu kuu ya 2015 ni Membe ni moja tuu inaitwa 'trend'. Kama baada ya x inafuata y the z ndio kukamilisha xyz, then Membe ndio z ili kukamilisha trend.
Mkapa ndio alikuwa MFA kipindi cha Mwinyi, na baada ya Mwinyi ndipo Mkapa akawa rais. Wakati Mkapa akiwa rais, JK ndio alikuwa MFA na baada ya Mkapa rais ndio JK.
Kipindi hiki cha JK, Membe ndie MFA hivyo 2015 ni zamu ya Membe.
Natoa wito kwa wanajf wenye mapenzi mema na nch yetu, bila kujalisha ni washabiki wa vyama gani, tuungane mkono kuhakikisha CCM inamsimamisha Mhe. Benard Membe ili kukamilisha trend!.
Tuanze kumzingumzia vizuri ikiwemo kumpigia chapuo la kila aina huku tukimwimbia nyimbo za sifa na mapambio.