miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
hongera sana
this week also pmoses95 nae amepata mtoto wake hahahaah wanaume hamchezi mbali hongereni sanaGod's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa msaada wenu wa mawazo: Kajifungua kwa OPERATION, pale Mount Mkombozi Morocco, na siku ya pili tu akawa ameruhusiwa!! Mama na Mtoto wote wanaendelea vizuri. Gharama halisi ukiondoa takataka zingine ni laki 7 tu. Thanks!!
Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/515511-gharama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html
I real appreciate all: Wanasema First Born akiwa wa kike basi ni Baraka!! A baby makes LOVE stronger!! Natumai kujaliwa na kuzidishiwa mema zaidi onwards!!
​![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cc: Mdia, Heaven on earth, miss strong, Uliza_Bei, DEMBA, Kijino, kabanga, OLESAIDIMU, Shark, BAK, MWAMUNU, bornagain, The secretary, christine ibrahim, Mkempia, Mkunde Original Dahlia, snowhite, ako me maste, Chabo, donbeny, nosspass, lukindo, BelindaJacob, dolevaby Jeji, Angelicious msemakweli2 monaco Ennie Marylyn jaxonwaziri Eli79, Tutor B The Boss na Wooooooote!!!
Ahsante sana Kennedy, nawe ubarikiwe aisee, it gives more happy n joyHongera sana kwa Familia yenu kuongezeka.
Thanks miss chagga,wasalimie kibororoni huko!! Lolhongera sana
Aisee sikulijua hilo kuhusu pmoses95, mpe hongera yake ukimuona!! Thanks kwa baraka zako!!@Nivea
Thanks sana mkuuHongera saana,
Thanks The secretaryHongera bwana
Duh mkuu mbona mapema sana, still window is closed even booking is not allowed!! Hiyo Avatar yako nayo yantisha ati!!Hongera na sie tupate wachumba. Naomba kubook wakati ukifika.
Pole zimefika...amepoa, thanks alot mkuu!!Pole zake sana wife kwa operation na hongereni sana kwa kupata baby girl
Bongo lazima ufanye booking ila mahari hayataletwa mapema kama huyu (click) nisije fungwa bure.....
Duh mkuu mbona mapema sana, still window is closed even booking is not allowed!! Hiyo Avatar yako nayo yantisha ati!!
.......
Amen...thanksMungu alieruhusu mtoto kuzaliwa aendelee kumlea na kumkuza akimpigania na kumlinda na mabaya yote
Wazazi Hongereni kupata Binti mpendwa
Thanks...blessings!!congrats.....,,God blec u....
Asante mkuu...nukuu nzuri nimeipenda!!Hongera mkuu kwa baby girl......"wana wa ujanani ni kama mishale mikononi mwa shujaa"
Waoh...nshakuwa baba sahivi!! Before nikiitwa Bakijacho!!LolHongera Baba Eme
Mkuu naona umejihukumu mwenyewe!! huwezi kula ubwabwa mkuu!!bila kulima!!Bongo lazima ufanye booking ila mahari hayataletwa mapema kama huyu (click) nisije fungwa bure