Hongereni sana.
Mungu awape afya njema mama na mtoto. na wewe, of course.
mkuu hongera sana!
Thanks sana makoyohongera mkuu
Yap sure...its my duty to care little gel....thanks tooCongrats ,take a good care of a little angel:smile:
Mh muombe tu naamini utajaliwa usikate tamaa wala kujutia, one day Yes utafanikiwa!! Ni mapenzi ya Mungu tu not otherwise!!Mkuu hongera sana, Mtangulize Mungu katika yote,,... wengine tunatamani mtt wa kike ila wapiii....ubarikiwe sana...
Thanks MR KAN ubarikiwe sana...!!!hongera sana mkuu,but ashukuriwe sana mwenyezi mungu kwa baraka zake
God's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa msaada wenu wa mawazo: Kajifungua kwa OPERATION, pale Mount Mkombozi Morocco, na siku ya pili tu akawa ameruhusiwa!! Mama na Mtoto wote wanaendelea vizuri. Gharama halisi ukiondoa takataka zingine ni laki 7 tu. Thanks!!
Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/515511-gharama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html
I real appreciate all: Wanasema First Born akiwa wa kike basi ni Baraka!! A baby makes LOVE stronger!! Natumai kujaliwa na kuzidishiwa mema zaidi onwards!!
​![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cc: Mdia, Heaven on earth, miss strong, Uliza_Bei, DEMBA, Kijino, kabanga, OLESAIDIMU, Shark, BAK, MWAMUNU, bornagain, The secretary, christine ibrahim, Mkempia, Mkunde Original Dahlia, snowhite, ako me maste, Chabo, donbeny, nosspass, lukindo, BelindaJacob, dolevaby Jeji, Angelicious msemakweli2 monaco Ennie Marylyn jaxonwaziri Eli79, Tutor B The Boss na Wooooooote!!!
pole wangu usihofu nipo na wewe kuzidi unavyofikiria nawapenda sana watoto huwa sipendi kwa jinsi yoyote nikihisi wameumizwa naumia sana japo kwa mimi mpaka sasa bado MUNGU hajanijalia mtoto lakini naimani nitampata. inawezekana ndo mana nakuwa mkali kwa kuwa labda sina mazoea ya kuwalea na huwenda sijui wanalelewaje lakini yoyote kwa yote ninafuraha sana kwa ajili yako MUNGU AWABARIKI SANA.Mh ni neno jema ntalifanyia kazi...ila sidhani kama mimi ni mwoga wa majukumu...manake kuuliza is simply to have an idea of what is real thing!!
pole wangu usihofu nipo na wewe kuzidi unavyofikiria nawapenda sana watoto huwa sipendi kwa jinsi yoyote nikihisi wameumizwa naumia sana japo kwa mimi mpaka sasa bado MUNGU hajanijalia mtoto lakini naimani nitampata. inawezekana ndo mana nakuwa mkali kwa kuwa labda sina mazoea ya kuwalea na huwenda sijui wanalelewaje lakini yoyote kwa yote ninafuraha sana kwa ajili yako MUNGU AWABARIKI SANA.