Thank's God, to have a Baby Girl..!!

Thank's God, to have a Baby Girl..!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,542
Reaction score
7,377
God's always Great!! Baada ya pilika za hapa na pale, leo ni siku muafaka kumshukuru Mungu kwa kumuwezesha my (wife) kujifungua salama mtoto wa kike named EMELYN. Ninawashukuru pia wana JF kwa msaada wenu wa mawazo: Kajifungua kwa OPERATION, pale Mount Mkombozi Morocco, na siku ya pili tu akawa ameruhusiwa!! Mama na Mtoto wote wanaendelea vizuri. Gharama halisi ukiondoa takataka zingine ni laki 7 tu. Thanks!!

Rejea hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/515511-gharama-halisi-za-kujifungua-kwa-operation.html

I real appreciate all: Wanasema First Born akiwa wa kike basi ni Baraka!! A baby makes LOVE stronger!! Natumai kujaliwa na kuzidishiwa mema zaidi onwards!!

2zeyxqp.gif
2zeyxqp.gif
​
2zeyxqp.gif

svrink.jpg
2urxssj.jpg
2f05bvm.jpg
2h3r9ty.jpg
29uvako.jpg

cc: Mdia, Heaven on earth, miss strong, Uliza_Bei, DEMBA, Kijino, kabanga, OLESAIDIMU, Shark, BAK, MWAMUNU, bornagain, The secretary, christine ibrahim, Mkempia, Mkunde Original Dahlia, snowhite, ako me maste, Chabo, donbeny, nosspass, lukindo, BelindaJacob, dolevaby Jeji, Angelicious msemakweli2 monaco Ennie Marylyn jaxonwaziri Eli79, Tutor B The Boss na Wooooooote!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera jamani maana ulivyokuwa worried na garama za operation lol!!!!!!!

M/Mungu amkuze salama
 
hongereni, lakini hujatupa hali yako baba mzazi unaendeleaje? maana umesema mama na mtoto wanaendelea vizuri wewe?
 
Hongera jamani maana ulivyokuwa worried na garama za operation lol!!!!!!!

M/Mungu amkuze salama
Ahsante sana, Dah aisee, iliniumiza kichwa sana...!! Bt lastly nili-manage!!

Hongera sana kwa kupata mtoto kike...What a lovely name EMELYN
Thanks mimi49, yaani all of us we loved that name...awesome!!

Hongeraa sana
Thanks marejesho, ubarikiwe!!

Hongera sana mkuu
mungu awabariki
Thanks The Boss, I'm lucky!!
 
Last edited by a moderator:
hongereni, lakini hujatupa hali yako baba mzazi unaendeleaje? maana umesema mama na mtoto wanaendelea vizuri wewe?
kabanga mbona una masihara sana mkuu...haha hahaa mi niko gado sana tu nadunda ingawa kwa sasa nipo bankrupt lakini si unaona tarehe zenyewe hizi? karibu mifuko itatuna tena mkuu!!
 
Last edited by a moderator:
hongereni, lakini hujatupa hali yako baba mzazi unaendeleaje? maana umesema mama na mtoto wanaendelea vizuri wewe?

jamani baba mtoto mzimaa huoni alivyo na mahappy hadi katoa shukran?hapo ni full makea kwa firstbabygirl loh!!
 
Hongera mkuu! Ila umwambie wife asijidekeze saana afanye mazoez muda ukfka afy yake irud kama zamani! Hongera saana!!
 
jamani baba mtoto mzimaa huoni alivyo na mahappy hadi katoa shukran?hapo ni full makea kwa firstbabygirl loh!!

Umejuaje yaani...tuombe uzima tu,manake mahappy na macare kwake usipime!!
 
Hongera mkuu! Ila umwambie wife asijidekeze saana afanye mazoez muda ukfka afy yake irud kama zamani! Hongera saana!!

Agh hawa watoto wa .com, sijui daddy...wanasumbua lakini keshanyooka, hawezi tena deka deka!! Good advice anyway!!
 
Back
Top Bottom