Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,996
Ndugu wanaJF,
Kwanza kabisa napenda kutumia fursa hii kwa niaba ya familia yangu kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku ya leo tukiwa buheri wa afya. Ni rehema zake tu zimetuwezesha kufikia hapa tulipo kwani tunatambua wazi kwamba ni watu wengi sana hawajapata nafasi ya kuuona mwaka 2013 ama kuiona siku ya leo.
Pili ningependa niwashukuru kipekee sana wadau wote wa JF hususan crew nzima ya MMUkwa namna ambavyo mmekuwa nasi tangu Jumatano 02/01/2013 hadi hivi leo wakati huu ninapoandika ujumbe huu.
Mke wangu (Mama Rhobi) ameruhusiwa jana kutoka hospitali, sasa yupo nyumbani akiendelea kujiuguza na papo hapo akimhudumia kijana wetu, kwani maziwa ya mama kwa mtoto ni tosha!
Kwa namna ya kipekee sana niwashukuru wale wote waliotutakia kheri kupitia JF na mitandao mingine ya kijamii, waliotupigia simu na wanaoendelea kutupigia, waliofika hospitali kutuona na wanaoendelea kufika kutuona nyumbani.
Kwa ujumla mama na mtoto wanaendelea vizuri sana, afya zao zimeendelea kuimarika kila siku. Kikubwa muendelee kuwakumbuka katika sala zenu na dua zenu.
Karibuni sana kwetu, kichuri kinapatikana kwa wingi.
Much respect guys, Viva JF. I wish you all the best of lucky in the year 2013!
Much respect guys, Viva JF. I wish you all the best of lucky in the year 2013!
Ngabu bana.. Asante kwa elimuI don't mean to sound like a grammatical purist but that right there is not correct. It's the 'best of luck' and not the 'best of lucky'.
Otherwise congrats to you and yours.
I don't mean to sound like a grammatical purist but that right there is not correct. It's the 'best of luck' and not the 'best of lucky'.
Otherwise congrats to you and yours.
i dont wanna sound like nyani ngabu, but its 'magene' lolHahaha...umesomeka Nyani Ngabu. Mambo ya mashikolo mageni!
Ngabu bana.. Asante kwa elimu
Hahaha...umesomeka Nyani Ngabu. Mambo ya mashikolo mageni!
i dont wanna sound like nyani ngabu, but its 'magene' lol
nakutania mwaya, mie.nangoja mama apumzike kwanza nije kushika mtoto. Nitakuja na mbuzi anaetembea, tunywe supu na ugali wa mtama kwa kichuri na nyama choma.
Watanzania, naomba niwashauri. Mtu akitoka kujifungua anahitaji kupumzika kwanza kabla ya kuonwa na watu. Walau wiki mbili alale kama sio mwezi ndo twende tukashike mtoto. Ni ushauri tu.
Hongera mama rhobi. Mama nyamtondo hapa, with love.
Hongera sana wa-Poti....
Hongera pia kwa mama Rhobi.
Ila hujajibu swali langu na pia la mzee mwenzangu Asprin,
Una mpango wa kuikamata Green Star (nyota ya kijani) hivi karibuni au ni mwendo mdundo..lol??
Babu DC!!
Mama na mtoto wanaendelea vizuri........... hii ni habari njema. Je wewe mwenyewe unaendeleaje?Ndugu wanaJF,
Kwanza kabisa napenda kutumia fursa hii kwa niaba ya familia yangu kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuifikia siku ya leo tukiwa buheri wa afya. Ni rehema zake tu zimetuwezesha kufikia hapa tulipo kwani tunatambua wazi kwamba ni watu wengi sana hawajapata nafasi ya kuuona mwaka 2013 ama kuiona siku ya leo.
Pili ningependa niwashukuru kipekee sana wadau wote wa JF hususan crew nzima ya MMUkwa namna ambavyo mmekuwa nasi tangu Jumatano 02/01/2013 hadi hivi leo wakati huu ninapoandika ujumbe huu.
Mke wangu (Mama Rhobi) ameruhusiwa jana kutoka hospitali, sasa yupo nyumbani akiendelea kujiuguza na papo hapo akimhudumia kijana wetu, kwani maziwa ya mama kwa mtoto ni tosha!
Kwa namna ya kipekee sana niwashukuru wale wote waliotutakia kheri kupitia JF na mitandao mingine ya kijamii, waliotupigia simu na wanaoendelea kutupigia, waliofika hospitali kutuona na wanaoendelea kufika kutuona nyumbani.
Kwa ujumla mama na mtoto wanaendelea vizuri sana, afya zao zimeendelea kuimarika kila siku. Kikubwa muendelee kuwakumbuka katika sala zenu na dua zenu.
Karibuni sana kwetu, kichuri kinapatikana kwa wingi.
Much respect guys, Viva JF. I wish you all the best of lucky in the year 2013!
Sasa poti poti hili swali lako kwa kushirikiana na Asprin nashindwa kulitolea majibu kwa kweli.
Hebu fikiria kwamba watu wote mnaohimiza wenzenu kuzingatia nyota ya kijani mna timu za mpira wa miguu majumbani mwenu halafu mnatushauri sisi wengine kuzingatia nyota ya kijani, wapi na wapi mkuu?
Ngoja kwanza nifikishe nusu ya idadi mliyokuwa nayo ndipo nianze kuifikiria hiyo nyota.
Mama na mtoto wanaendelea vizuri........... hii ni habari njema. Je wewe mwenyewe unaendeleaje?