Thank you Mr Rocky

Hahahaha shemeji Judgement una masuali magumu wakati mwingine..... Akija Mr Rocky atakujibu mwenyewe

Shem, wee-nawee!
Kaswali kenyewe Maharage ya Mwakyembe? Kanakupasua! Nitafutege nije nikufunde formalities za ku'rply suddenly & attackin quiz !
 
Last edited by a moderator:

Bishanga una hamu na wewe ya kusutwa nitamwita Zinduna na lara 1 na Madame B na Sion daughter wafanye kazi yao


Asante sana Arabela ubarikiwe sana
Kha! sweetlady unamwaga sumu utadhani we meneja wa rentokill!
Nna hisi una ham ya kusutwa......... Zinduna kam zis wei
Bishanga umemuona eehhh huyu sweetlady anahitaji kusutwa na ngoja niwatafute wahusika
 
Last edited by a moderator:

Bishanga una hamu na wewe ya kusutwa nitamwita Zinduna na lara 1 na Madame B na zion daughter wafanye kazi yao


Asante sana Arabela ubarikiwe sana
Kha! sweetlady unamwaga sumu utadhani we meneja wa rentokill!
Nna hisi una ham ya kusutwa......... Zinduna kam zis wei
Bishanga umemuona eehhh huyu sweetlady anahitaji kusutwa na ngoja niwatafute wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…