Thank God It's Friday!.

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,164
61,249
81706_m_a28cffbb-fdf9-65dc-002c52feef65119c.jpg

Weekend is upon us guys, ndio unatoka kazini unajivuta taratibu kuelekea kusikojulikana, mara tu unakutana na bonge la queen kama huyu. Je weekend yako utaianza na kuimaliza vipi?.
 
Huh..i dont believe in "love at first sight"...Nitaenda kwa yuleyule wa siku zote!..lol!
 
81706_m_a28cffbb-fdf9-65dc-002c52feef65119c.jpg

Weekend is upon us guys, ndio unatoka kazini unajivuta taratibu kuelekea kusikojulikana, mara tu unakutana na bonge la queen kama huyu. Je weekend yako utaianza na kuimaliza vipi?.

Kwa wale wataalamu wenzangu lazima waanze "Would you like to have a couple of drink or two halafu mrembo anajibu sure why not I was not planning to go home this early" hapo unaona yes kitu kinaelekea kwenye mstari
 
asubuhi asubuhi vichwa vimejaa mawazo ya ngono

fanyeni kazi, hivi wkend ninyi huwa mnapumuzika na kufanya ngono?
 
Na wewe naye sijui vipi!! siku moja moja unaharibu, sio utakatifu zaidi bwana wetu...kuna siku naye aliharibu kwa kupindua meza za sokoni!
 
Yego umemtoa wapi huyo mtoto?ha ha..ukikutana nae friday hii mwambie "I want to father your children":smile-big:
 
Bado hamfikii wangu hata kidogo.....nafikiri kukaa uchi ndio kumembeba ........ kweli kupenda upofu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom