Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,156
- 2,017
It've been a long day...... Wasalam wana jamvi.
Waswahili wanasema jitihada hazizidi kudra, hii kauli haina Shaka katika ukweli kwasababu kila mmoja ni shahidi wa kila kilichomkuta, hakuna hata mmoja atakeyesema, "siku zote ilikuwa Kama nilivyotarajia"
After a long time, I found myself who I am, it was not easy, but I don't know maybe ilikuwa lazima nipitie. Thanks GOD niliyoyaona yalinifurahisha, and I cherished it, nilikutana na yaliyoniumiza, niliumia, nililia na nilipotezea kwasababu niliamini kilikuwa ni kimbunga na kingetoweka Mara.
Nawashukuru sana wale ambao, walionyessha moyo wa upendo kwangu na Kwa walionizunguka, nilitamani sana kuona, upendo ukikua zaidi lakini kiuhalisia tumeumbwa tofauti.
Sijui Nina shida gani lakini, nikihitaji kufanya ngono Wala sitasubiri masaa mengi yapite mpaka niwe nimeshatekeleza Azma yangu.
Yes nilipenda,nilijali,niliheshim Kwa kadiri nilivyoweza, nilijiambia "huwezi kufanya kila kitu Kwa ukamilifu, lakini nilijiribu"
Labda kwasababu nilikuwa kinyume na hisia za aliyenipenda sana, nilifikiri hivyo Mara kadhaa lakini, nilijisemea "huwezi kufanya kila kitu Kwa ukamilifu"
Nilijifunza kwamba "sometimes GOD use extreme measures to deal with extreme circumstances " And I guess I was the one of the extreme circumstances.
Sometimes GOD take us all around the block so that he can show us the next door.
Mwanzo nilikuwa good guy, church boy even my mom was so proud of me, even the people from the church and the pastor's. Sijui huyu lighton aliendaga wapi.
This is how I live my life now, when I wake up in morning nafikiria ni mitikasi nipate pesa, thanks GOD siwazi sana kuhusu pesa, time to time, mwili unahitaji na hakuna nachoweza kufanya.
It is a lost soul😥