Nakubaliana nawe 100%. Nakumbuka JK alipotanganza ile Dec kuanza kwa mchakato wa katiba, Wapinzani walimpongeza kwa hatua hiyo. Lile lilikuwa kosa na tuliwatahadharishaKushindikana kuandikwa kwa katiba mpya baada ya kazi za muda mrefu sana iliyofanywa na Tume wa Warioba lilikuwa ni pigo kubwa sana kwa nchi.
Hali hiyo ilitokana na katiba hiyohiyo inayompa rais madaraka ya kuamua lolote, na ndiyo aliyotumia Kikwete kuunda tume hiyo, halafu akayatumia pia kuua muendelezo huo wa kuandikwa kwa katiba mpya.
Swala la kurekebishwa kwa Katiba mpya lilitakiwa lianzie bungeni kusudi liwe na nguvu ya kisheria, siyo kuwa ni utashi wa rais tu.
Ukiisoma katiba hiyo kwa makini, utagundua kuwa haiweki limit ya jinsi rais atakavyotumia madaraka yake hayo. Katiba yote inategemea zaidi busara na hekima za rais kuamua namna ya kuyatumia vizuri. Madaraka mengine yametolewa indirectly kabisa; kwa mfano katiba hiyo inamruhusu rais kuingilia mamlaka ya bunge!Mkuu Kichuguu, long time Mkuu. Tume miss sana michango yako kama huu
Nakubaliana nawe 98% ya uliyoeleza. Ninatofautiana nawe kwa hizo 2% katika hayo niliyo bold hapo juu
Rais kutumia madaraka yake yote kwa mujibu wa katiba kama alivyopewa siyo tatizo na si sidhani ni hoja
Hoja ni kwamba je, matumizi hayo yanatumika kama yalivyoaanishwa na katiba? Kwa malkia wanasema 'to the letter''. Hapa naomba nitoe mifano
- Sioni tatizo kama Rais atasaini wafungwa wote waliohukumiwa kifo kunyongwa siku moja. Katiba inamruhusu
-Sioni tatizo kama Rais atatumia 'decree au executive order' kwa mambo kama yalivyoanishwa kikatiba, sioni!
-Leo akiamua kulivunja bunge na kuitisha uchaguzi sioni tatizo. Katiba inamruhusu
-Sioni tatizo kama wateule wake watakuwa watu wa familia yake na majirani. Katiba inamruhusu
Naoliona tatizo ikiwa Rais atatumia mamlaka na madaraka yake kutenda jambo nje ya katiba
Kwa mfano, ikiwa katiba na sheria za nchi zinaruhusu jambo, na Rais akatumia madaraka yake yote ya kikatiba kulizuia jambo hilo bila kutumia sheria zinazompa madaraka hayo , hapo kuna tatizo na si suala la 'madaraka yote aliyopewa na katiba'
Ukiisoma katiba hiyo kwa makini, utagundua kuwa haiweki limit ya jinsi rais atakavyotumia madaraka yake hayo. Katiba yote inategemea zaidi busara na hekima za rais kuamua namna ya kuyatumia vizuri. Madaraka mengine yametolewa indirectly kabisa; kwa mfano katiba hiyo inamruhusu rais kuingilia mamlaka ya bunge!
Nakubaliana nawe 100%. Nakumbuka JK alipotanganza ile Dec kuanza kwa mchakato wa katiba, Wapinzani walimpongeza kwa hatua hiyo. Lile lilikuwa kosa na tuliwatahadharisha
1. Tuliwaambia ili mchakato ufanikiwe ni lazima uondoke katika mikono ya CCM ambao hawakutaka suala hilo
Niliwaeleza hapa jamvini, hoja ilitakiwa kwenda Bungeni ili ipate uhalali tu wa kisheria na si vinginevyo
Kisha, ilitakiwa mchakato mzima utazamwe na mkutano wa kitaifa ili kuondoa uCCM
Katika hilo Bunge la Katiba lisingehusu CCM kama ilivyokuwa kwa katiba ya 1977 n.k.
2. Kwasababu namba 1 haukizingatiwa, CCM wakatumia nguvu yao kisiasa na si kiuzalendo na nchi kuupiga ngwara mchakato mzima. Na Rais alitishwa na CCM na kwavile alikuwa na nguvu akanywea
Kuharibika kwa mchakato wa katiba kwa sehemu kubwa sana kulichangiwa na Wapinzani kutoelewa mchezo wa siasa za CCM na kuamini kuwa CCM ni Wazalendo wanaoweza kufanya nao kazi, siyo!
Nakubaliana, na inaonekana hawakuweza kukaa na kutafakari. Laiti wangekaa chini na kujiuliza nini kilitokea Zanzibar mara zaidi ya 3 wangetambua tatizo si kura au kupata kura, ni endapo kura hizo zinathamani"Zakumi, post: 29963705, member: 12016"]Toka siasa za vyama vingi zianze. Wapinzani (na wanasiasa kutoka CCM) wamegombea nafasi mbali mbali bila kusoma na kujua katiba ya nchi.
Sidhani kama Mrema alisoma na kujua katiba ya nchi wakati alipogombea mwaka 1995
Wana matumaini hisani iliyotokea Zambia na Kenya inaweza kutokea TanzaniaNa kama wangejua mapungufu ya kikatiba basi wasingejaribu kuingia kwenye uchaguzi wa 1995 na kuendelea.
Sidhani kama ni uwezo wa kwenda mahakamani.Pili, pamoja na mapungufu yake, katiba sio tatizo. Waingereza hawana katiba iliyoandikwa. Lakini wanafuata taratibu walizojiwekea. Leo waziri mkuu akishindwa kura ya maoni, anaondoka haraka na kumwachia mwingine. Na yakitokea matatizo wanakwenda mahakama kupata sheria. Kwa maneno mengine wanavyo taasisi na vyombo vinavyolinda katiba.
Hii ni siri kubwa wengi hawaijuiTanzania hakuna taasisi inayolinda katiba.
Kwa maana kuwa Mwenyekiti wa tume ana ''kura'' na uwezo mkubwa kuliko wapiga kura.Kwa mfano ya Tanzania inasema mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akishatangaza matokeo ya urais, matokeo hayatenguliwi.
Hoja isiyo na majibu ni kama tume ya uchaguzi ipo huru. Tuliona uchaguzi uliopita Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais alibadilisha wajumbe wa tume siku chache kabla ya uchaguzi! Majibu yalikuwa rahisi, Rais ana mamlaka hayoLakini ndani ya katiba hiyo hiyo, wananchi wapewa haki ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao.
Hivyo si sahihi kwa tume kumpa urais mgombea ambaye hakuchaguliwa na wananchi
Kichuguu za mwaka mpya. Kwa kuongezea point yako ya mwanzo na hii. Kuna matatizo ya kimuundo ambayo kwa kiasi kubwa inachangiwa na mapungufu ya kikatiba. Lakini pamoja na mapungufu ya kikatiba, kwa maoni yangu kuna mapungufu ya kimwamko (enlightenment) ndani ya jamii yetu. Huwezi kuwa na jamii isiyo na mwamko na ikaja kuwa na katiba nzuri. na huwezi kuwa na jamii isiyo na mwamko na ikadai ubora (excellence ) kutoka kwa viongozi wake.
Awali umesema matatizo ya 1983, yalisababisha mfumo mbovu unaoendelea mpaka sasa. Hupo sahihi na uchambuzi wako. Hila naona matatizo haya yalianza mapema zaidi ya hapo. Kulikuwa na matatizo ya kiuchumi yaliyokuwa nje ya uwezo wa Tanzania. Lakini vilevile kulikuwa na matatizo ya kimuundo ambayo nchi ilishindwa kuyafanyia kazi.
Moja ya matatizo ya kimuundo: siasa ilikumba kila nyanja ya jamii na uchumi. Na ulifika wakati tuliamini kuwa siasa yetu ilikuwa ni bora kuliko miundo mingine ya siasa duniani. Katiba ya nchi ilikuwa haina nguvu kama katiba ya chama. Vikao vya chama vilikuwa vina nguvu kuliko mamlaka za kiserikali. Kibaya zaidi katiba ya nchi ilifanyiwa marekebisho hili ikidhi itikadi za chama.
Mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi yaliyotoka Ulaya Mashariki mwanzoni mwa 90 hayakutegemea na Tanzania haikujitayarisha na mabadiliko hayo. Kwa mfano kulikuwa na watu wengi walioacha taaluma zao na kujikita kwenye siasa. Ghafla bin vuu, hawa hawakuwa na hoja.
Mkuu Nguruvi3 uko correct kabisa kwa analysis hii, ila chimbuko la yote ni kukosekana kwa katiba inayotoa dira nzuri ya nchi bila kujali chama au mtu aliyeko madarakani.Nakubaliana, na inaonekana hawakuweza kukaa na kutafakari. Laiti wangekaa chini na kujiuliza nini kilitokea Zanzibar mara zaidi ya 3 wangetambua tatizo si kura au kupata kura, ni endapo kura hizo zinathamani
Wana matumaini hisani iliyotokea Zambia na Kenya inaweza kutokea Tanzania
Sidhani kama ni uwezo wa kwenda mahakamani.
Kiwango cha elimu kwa wananchi ni kikubwa mno. Leo utasikia Labour wanatawala, kesho conservative n.k
Wananchi wanachagua sera si vyama ili kuleta mabadiliko katika maisha yao
Ukiangalia wanavyojadili Brexit, iwe kwa namna yoyote kuna jambo moja utakalojifunza, wanajielewa
Hii ni siri kubwa wengi hawaijui
Vyombo vya kulinda katiba ni sehemu ya utawala, kinachoonekana ni kiini macho
Kupingwa rasimu ya Warioba na CCM si kwamba CCM hawaoni tatizo lililopo, wanaliona sana
Hofu yao ni kuwa kufumua katiba hii kutajenga mazingira ya wazi ya mifumo inayolinda katiba
Katika hilo CCM wanatambua hawawezi kusimama kidete tenaKwa maana kuwa Mwenyekiti wa tume ana ''kura'' na uwezo mkubwa kuliko wapiga kura.
Ni suala la yeye kutaka nani awe nani asiwe. Hana shaka na gharama za hatua hizo
Ndiyo maana hapo juu nimeeleza, suala si kura ni thamani ya kura kama kweli ipo
Hoja isiyo na majibu ni kama tume ya uchaguzi ipo huru. Tuliona uchaguzi uliopita Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais alibadilisha wajumbe wa tume siku chache kabla ya uchaguzi! Majibu yalikuwa rahisi, Rais ana mamlaka hayo
Yaani motive ya kubadilisha na muda haikuwa na nguvu kuliko mamlaka aliyopewa Rais
Ikitokea tume ya uchaguzi ikaitwa katika mdahalo na kuulizwa kama ipo huru, nina uhakika mdahalo utaishia hapo
Tume inachaguliwa na M/Kiti wa CCM ambaye ni Rais. Uteuzi hauhojiwi ni chombo chochote kile
Haiwajibiki kwa chombo kingine chochote kile na haiwezi kushtakiwa popote pale
Maana yake ni moja, Tume inawajibika kwa aliyeiunda na inalindwa na aliyeiunda
Mkuu Nguruvi3 uko correct kabisa kwa analysis hii, ila chimbuko la yote ni kukosekana kwa katiba inayotoa dira nzuri ya nchi bila kujali chama au mtu aliyeko madarakani.
Mkuu Zakumi, kukosekana kwa huo mwamko ndiko nilikojaribu kueleza kuwa ni kutokana na watu kuzowea maisha ya kimkato mkato, na ndiyo inayokamilisha hilo duara jeuri!!
Mkuu kuna wakati namwelewa Mwalimu Nyerere hasa kuhusu katiba"Zakumi, post: 29975965, member: 12016"]Wakati Mwalimu Nyerere alipokuwa hai, kubadilisha katiba ilikuwa ni kama kufanya njama za kufuta legacy yake. Hivyo hakuna aliyejaribu jambo hilo bila kupata baraka zake.
Haya mambo yamewekwa kando siku nyingi sana.Tukitaka katiba itakayokidhi mahitaji na wakati wa sasa, ni lazima legacy za Ujamaa, Chama kimoja na Azimio la Arusha viwekwe kando.
Absolutely! Ni chama ambacho ima unasubiri muda wako au unataka masilahi yako yalindwePamoja na legacy za mwalimu, CCM ni chama cha wanasiasa wa kulipwa. Katiba ya kweli itawafanya CCM kupoteza nguvu na kukosesha kazi watu waliozoea kupata ulaji kupitia CCM. Sababu ya CCM kuvumiliana, sio kuonyesha upevu wa kisiasa. Bali kusubiriana hili wale kwa zamu
Nakubaliana, na inaonekana hawakuweza kukaa na kutafakari. Laiti wangekaa chini na kujiuliza nini kilitokea Zanzibar mara zaidi ya 3 wangetambua tatizo si kura au kupata kura, ni endapo kura hizo zinathamani
Wana matumaini hisani iliyotokea Zambia na Kenya inaweza kutokea Tanzania
Sidhani kama ni uwezo wa kwenda mahakamani.
Kiwango cha elimu kwa wananchi ni kikubwa mno. Leo utasikia Labour wanatawala, kesho conservative n.k
Wananchi wanachagua sera si vyama ili kuleta mabadiliko katika maisha yao
Ukiangalia wanavyojadili Brexit, iwe kwa namna yoyote kuna jambo moja utakalojifunza, wanajielewa
Hii ni siri kubwa wengi hawaijui
Vyombo vya kulinda katiba ni sehemu ya utawala, kinachoonekana ni kiini macho
Kupingwa rasimu ya Warioba na CCM si kwamba CCM hawaoni tatizo lililopo, wanaliona sana
Hofu yao ni kuwa kufumua katiba hii kutajenga mazingira ya wazi ya mifumo inayolinda katiba
Katika hilo CCM wanatambua hawawezi kusimama kidete tenaKwa maana kuwa Mwenyekiti wa tume ana ''kura'' na uwezo mkubwa kuliko wapiga kura.
Ni suala la yeye kutaka nani awe nani asiwe. Hana shaka na gharama za hatua hizo
Ndiyo maana hapo juu nimeeleza, suala si kura ni thamani ya kura kama kweli ipo
Hoja isiyo na majibu ni kama tume ya uchaguzi ipo huru. Tuliona uchaguzi uliopita Mwenyekiti wa CCM ambaye ni Rais alibadilisha wajumbe wa tume siku chache kabla ya uchaguzi! Majibu yalikuwa rahisi, Rais ana mamlaka hayo
Yaani motive ya kubadilisha na muda haikuwa na nguvu kuliko mamlaka aliyopewa Rais
Ikitokea tume ya uchaguzi ikaitwa katika mdahalo na kuulizwa kama ipo huru, nina uhakika mdahalo utaishia hapo
Tume inachaguliwa na M/Kiti wa CCM ambaye ni Rais. Uteuzi hauhojiwi ni chombo chochote kile
Haiwajibiki kwa chombo kingine chochote kile na haiwezi kushtakiwa popote pale
Maana yake ni moja, Tume inawajibika kwa aliyeiunda na inalindwa na aliyeiunda
Hili ni tatizo kubwa kuliko katiba yenyeweLakini pamoja na mapungufu ya kikatiba, kwa maoni yangu kuna mapungufu ya kimwamko (enlightenment) ndani ya jamii yetu. Huwezi kuwa na jamii isiyo na mwamko na ikaja kuwa na katiba nzuri. na huwezi kuwa na jamii isiyo na mwamko na ikadai ubora (excellence ) kutoka kwa viongozi wake.
Hii ni hoja inayopaswa kuzungumzwa sasa hiviBunge la katiba la Tanzania lilikuwa na wasomi kuliko wamarekani waliokutana Philadephia kuandika katiba. Wabunge wa bunge la katiba walikwenda kulipwa na hawakujali matokeo ya kazi yao. Wakati watunzi wa katiba ya Marekani walifanya kazi wakijua wanaandika historia ya nchi yao.
Mkuu kuna wakati namwelewa Mwalimu Nyerere hasa kuhusu katiba
Mwl alipochukua nchi ni kama mtu aliyekadhiwa kijiji kisicho na shule
Kazi ya kwanza ilikuwa kujenga utaifa, kisha kuwaunganisha watu.
Tunaweza kutokubaliana na sera zake nyingi lakini ukweli utabaki pale pale yapo aliyoyafanya tusiyoyaona na tusiyoyajua ndiyo yanatuweka tuwe kama tulivyo
Nchi ikipata uhuru ilikuwa na makabila 120 na dini mbali mbali.
Kazi ya kuunganisha watu haikuwa rahisi, ilihitaji mwelekeo na kuvumiliana
Leo miaka 50 tunaona matatizo Kenya na kwingine ambako makabila si zaidi ya 30
Mtu anayeharibu 'design' si tatizoNi kweli tulikuwa backward. Lakini katiba ilianza kuaribiwa kwa design na sio kwa sababu Nyerere alikabidhiwa kijiji kisicho na shule.
Mtu anayeharibu 'design' si tatizo
Tatizo ni je, kulikuwa na watu waliom 'challenge'? Jibu ni hapana
Hilo tunaliona kuanzia katiba ya Uhuru 1961, ya mpito 1964 na 1977
Nilikupa mfano wa 1964 Mutiny, kwamba, askari pengine waliokuwa na fursa ya kufanya mabadiliko walijikita kupinga kwanini wanaongozwa na Mzungu Kwanini hawapewi vyeo
Hili la Nyerere niliweka wazi, tunaweza kuwa na mitazamo mbali mbali kuhusu kufanikiwa au kufeli kwake.
Tusichoweza kupingana ni suala la kutujengea Utaifa kama tulivyo leo
Ni ukweli kuwa alifanya kazi katika mazingira yasiyo na rasilimali watu
Mkuu utaifa ulikuwepo, kuujenga ni kitu tofauti kidogo"Zakumi, post: 30000075, member: 12016"]Tanganyika ilipopata uhuru ilikuwa na utaifa. Hatukuwa tumeganyika.
Makabila makubwa yalikuwepo yakiwa na influence katika siasa.Hata makabila makubwa ya Tanganyika hayakuwa na vyama vyao tofauti vya kisiasa.
Haya mambo ya kuwa utaifa umejengwa baada ya kupata uhuru yanatoka wapi?
Lugha moja ilikuwepo, kulikuwa na jitihada za kuifanya ituunganishe.CCM na wale wasiotaka mabadiliko ya kweli siku zote wanatumia hoja ya utaifa kutofanya mabadiliko. Utaifa tulikuwa nao kwa sababu ya lugha moja na makabila madogo madogo yasio na mvutano.
Hakuna anayesema changamoto zetu ni utaifa. Hoja hiyo imekuja kueleza kuwa iwe iwavyo kwa ubaya au wema wa Nyerere kuna mambo hayana mjadala na hili la utaifa ni moja kwa mojaChangamoto za Tanzania sio utaifa. Na utaifa haikuwa changamoto wakati tumepata uhuru.
Huko kwenye changamoto za utaifa tulishavukaKama utaifa sio changamoto yetu, ni nini chagamoto yetu. Kwa maoni wangu changamoto kubwa ni mfumo mbovu wa kisiasa na uongozi ambao umeshindwa kunyanyua jamii kwa kutumia utaifa na amani iliyokuwepo.
Mkuu utaifa ulikuwepo, kuujenga ni kitu tofauti kidogo
Nigeria walikuwa na utaifa kama ilivyo Kenya, Cameroon, Rwanda , Burundi n.k.
Swali ni je, hali yao ipoje sasa kwa kuzingatia utaifa wao kama ulivyokuwa wetu?
Ni kweli hatukuwa tumegawanyika kwasababu haikuonekana hadharani.
Sote tulikuwa katika minyororo ya Mjerumani na Mwingereza tukililia hali zetu.
Baada ya uhuru tofauti zingelikuwa wazi kama kungekuwa hakuna mtu wa kuzingalia.
Tofauti ni kama ile ya 1964 Mutiny ambapo jeshi lilidhani lina haki ya kuwa na viongozi waafrika
Hali ile ilikuwepo kwingineko na kilichokuwa kinafuata kama si ukabila ni udini kwa wale wasio na silaha
Nigeria, Kenya, Rwanda , Camaeroon nyufa za kutoshughulikia umoja wa kitaifa zinarindima kila uchao
Je, unadhani kwetu ilikuwa ni bahati au kulikuwa na jitihada mahususi na nani yupo nyuma ya hilo Makabila makubwa yalikuwepo yakiwa na influence katika siasa.
Nyanza cooperation ya kanda ya ziwa ilikuwa na nguvu sana
Kwa kuangalia makabila, Nyanza ingeweza kutawala kwa njia ya kura bila kuiba hata kura moja
KNCU kule Kilimanjaro ilikuwa chini ya makabila madogo .
Ukubwa na influence ilikuwa kwa Wasomi ambao wangeweza kabisa kuwa na upper hand katika siasa za nchi
Tofauti za miaka hiyo huwezi kuziona sasa hivi kwa uhalisia bali kwa hisia.
Hii habari ya ''Kanda fulani watusubiri' si bahati mbaya.
Ni kauli zinazorindima zikialeza dukuduku lililokuwepo. Kama utakuwa umenielewa Lugha moja ilikuwepo, kulikuwa na jitihada za kuifanya ituunganishe.
Again angali nani alikuwa nyuma ya hilo?Uchifu ulifutwa kwasababu mahususi vinginevyo tungekuwa katika wakati tofauti Hakuna anayesema changamoto zetu ni utaifa. Hoja hiyo imekuja kueleza kuwa iwe iwavyo kwa ubaya au wema wa Nyerere kuna mambo hayana mjadala na hili la utaifa ni moja kwa moja
Huko kwenye changamoto za utaifa tulishavuka
Mfumo wetu mbaya ndiyo changamoto kubwa tuliyo nayo
Tumeshindwa kutumia umoja wetu wa kitaifa kubadili hali na mwelekeo wetu kwa masilahi binafsi
Hapo nyuma tulijadili kuwa tatizo ni CCM ambayo imekuwa chama cha siasa za kulipwa na siyo siasa za utaifa
Katika mambo niliyowahi kuyazungumzia hadi kuitwa ''Mfumo'' hapa jamvini ni hilo la mfumo wetu
Ukiuuangali hakuna mahali unaweza kusema tuna mfumo sahihi na hii ni kwasababu hatuna ''mfumo mama'' unaojenga mifumo mingine. Kuzorota kwa taasisi zetu za umma ni zao la mfumo mbaya
Mkuu, Kenya wana machifu, Nigeria wana machifu, Cameroon wana machifu n.k. Je, wamefanikiwaje kuliko sisi?Nguruvi:
Kuna kitu kinachoitwa diversity. Kilichofanyika Tanzania ni viongozi kuogopa diversity. Msukuma siku zote ataendelea kuwa msukuma. Hiyo ni DNA yake kwa sababu akuchagua mzazi.
Wakati mwingine tunashindwa kuwa na katiba nzuri kwa sababu tunashindwa kutambua diversity zetu. Na tunatumia muda mwingi kujaribu kujenga taifa lenye identity moja.
Katiba ya Marekani inadumu kwa sababu walikubali diversity. Diversity ya mawazo. Diversity ya kuabudu. Diversity ya maeneo yao. Huku Tanzania kabila kuwa na chifu ni dhambi.
Mkuu, Kenya wana machifu, Nigeria wana machifu, Cameroon wana machifu n.k. Je, wamefanikiwaje kuliko sisi?
Kuhusu diversity, sisi tunayo kubwa kuliko Marekani kwa kila eneo unalotaka kuzungumzia
Kupatikana kwa katiba bora si suala la diversity, ni matokeo ya ulafi na ubinafsi uliofunikwa katika mwamvuli mzuri sana uliousema huko nyuma '' CCM ni chama cha siasa za kulipwa'
Ndani ya CCM wanajua na mfano mzuri ni wale washiriki warasimu ya Warioba ambao baada ya kupata fursa za kulipwa sasa wameacha kile walichoamini na kuwa 'wanasiasa wa kulipwa' wakiponda suala la katiba
Kubwa zaidi ni wananchi ambao sijui kama wana uelewa kuhusu katiba na kama wanao wanamwamko sahihi, sijui!