Thamani ya shilling (TSH) DHIDI ya Dola (USD) 1966-2023

Thamani ya shilling (TSH) DHIDI ya Dola (USD) 1966-2023

Acha ujinga wewe,angalia 2015 Hadi 2018 Hali ilikuwaje.

Pili kuanzia 2019 Hadi 2021 Kasi ya kushuka ilikuwa ndogo Kwa sababu ya mamikopo ya miradi mliyokuwa mnaambiwa mnajenga Kwa hela zenu wakati ni mikopo ya kibiashara.

Usihangaike na Marehemu aliharibu uchumi.

Mabadiliko ya Dola ni kidogo awamu hii ya 6 kuliko huko nyuma
JPM alikuwa na tabia ya kusema Uongo sana. Mmh, sijui huko aliko kwani Mungu hadhihakiwi.
 
Back
Top Bottom