Thamani ya Neymar waweza kununua Pangaboi za mkulu ngapi?

Cendy

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
1,248
2,306
Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya €222m
Kwa bei, Neymar mmoja pekee ana thamani ya £198m, ama $262m, ambayo inaweza kununua.
Ndege moja ama tatu
Neymar mmoja anaweza kununua ndege tatu aina ya Boeing 737-700 za abiria ambazo zitagharimu $82.4m each.
Iwapo unataka kuimarisha ndege ya aina ya snazzier 737-800 - ambayo inatumika sana na kampuni ya ndege za abiria ya Ryanair's barani Ulaya - utaweza kununua ndege mbili pekee huku $65m zikisalia
Vilevile, unaweza kununua ndege ya kibinasfi kwa Neymar mmoja itakayogharimu ranging up to about $100m -na baadaye kutumia fedha zilizosalia kwa matumizi ya juu ya ndege hiyo kila mwaka
Ndege ya kijeshi ya F-35 ambayo inatumiwa sana na US Airforce itagharimu $94m, na ndege iliotoweka katika soko ya F-22 Raptor ilikuwa inauzwa kwa $150m wakati uzalishaji wake ulipositishwa
Mshahara wa kikosi chote cha New York Yankees
Nchini Marekani wachana na soka na badala yake utathmini mchezo wa Baseball . un aweza kulipa mshahara wa mwaka wa kikosi kizima cha New York yankees ka dola $155m kulingana na data ya thamnai ya kila mchezaji.Fedha zilizosalia unaweza unaweza kuwalipa wachezaji walio na majeraha, kuongeza kandarasi na kikosi kidogo itakugharimu $223m.
Uchumi wa mataifa sita
Iwapo unammiliki Neymar mmoja unaweza kukidhi uchumi wa moja ya mataifa sita madogo duniani .Mataifa ya Tuvalu, Montserrat, Kiribati, Visiwa vya Marshall , Nauru and Palau - vyote vina ukuwaji wa kiuchumi wa kati ya $33m hadi $258m, kulingana na data ya Umoja wa mataifa ya 2015.
Deni la taifa moja dogo ni sawa na kiwango kidogo cha deni la Mrekani
Mshahara wa Neymar kwa mwezi mmoja unaweza kufutilia mbali deni la taifa dogo kama vile Tonga ($28.3m), Fiji ($72.4m) au Vanuatu ($82m) - ama hata Haiti ($234m).
Mataifa hayo yana madeni madogo.
Kwa hivyo unapotaka kutoa usaidizi kama vile kwa Marekani yenye deni kubwa Neymar mmoja anaweza kupunguza deni hilo kwa 0.001% ambalo linakaribia
almost $20 trillion
Hongera!
Iwapo unaweza kujiwekea $1,000 kwa siku ,kila siku unaweza kumnunua Neymar baada ya miaka 718

Kwa pesa hii nimefikilia unaweza nunua pangaboy za mkulu kama 60 hivi na mafuta juu

the great
 
c1ea4f3ab2de8f56da9bd27cdf8ff7d4.jpg


the great
 
Tungemnunua neymar

the great
Ukimnunua sasa hivi huwezi kuja kumuuza bei zaidi ya hiyo!! kwa sasa mtu kama mbape yule wa monaco, tungempata akiwa miaka miwili iliyopita huoni sasa hivi tungekua tunajiandaa kupiga mapesa!!

Kuna tetesi rashford wa man united ana asili ya zanzibar sasa kama tungemlea vizuri huon sasa hivi tungekua tunajiandaa kupiga madolari yetu??
 
Kwa thamani hiyo, nanunua Chadema na wapinzani wote kisha nawatumbukiza bahari ya Hindi maana sioni umuhimu wao hapa nchini.
 
Baada ya LaLiga kuzngua naskia neymar amejilipia mwenyew ... eti ni kweli

Sent from my Android phone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom